Saturday, November 24, 2012

Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke
  

  
Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.



Ana Miguu Mikubwa Kuliko Watu Wote Duniani
  

  
Brahim Takioullah, anapopita barabarani watu hugeuza shingo zao na kubaki wakiushangaa urefu wake, wengine humuuliza wewe ndiye mtu mrefu kuliko wote duniani? jibu huwa ni hapana lakini anashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na miguu mikubwa kuliko watu wote duniani.

No comments: