WANAWAKE wengi wanashindwa kujua wao wanatofautiana na wanaume kwa
hisia na hata mawazo ya mapenzi. Wanaume wana mambo wanayoyapenda kutoka
kwa wake zao hasa katika masuala ya mapenzi. Kwanza wanawake wajue
wanaume wengi wana hisia za haraka za kufanya mapenzi kuliko wanawake.
No comments:
Post a Comment