![]() |
| Yanavyoweza kuathili baadhi ya sehemu katika mwili. |
![]() |
| Operation ikifanyika tayari kuyaondoa madawa hayo yaliompelekea kijana huyu kufariki. |
![]() |
| Operation ikiendelea hatari sana ndugu zangu. |
![]() |
| Picha inajieleza yenyewe tuungane kuyapiga vita kwa pamoja mimi wewe na yule. |
![]() |
| Baada ya utumbo kutolewa tayali kuanza kuyatoa madawa hayo. |
![]() |
| Kama uonavyo yakiwa ndani ya utumbo mpana. |
![]() |
| Yakianza kutolewa pamoja na kushafishwa jinsi unavyoona katika picha. |
![]() |
| Baada ya utumbo kuchanwa tayari kwa kutoa keti hizo. |
![]() |
| Kabla mtu ajazimeza zinakuwa hivi sasa ebu fikilia mtu anameza kete elfu 5 jamani hii ni hatari . |










No comments:
Post a Comment