Habari zilizotufikia toka IFM- Dar es salaam ni kwamba
mwanafunzi mmoja
ambaye bado hatujafanikiwa kulipata jina lake amefariki
dunia kwa kulishwa sumu katika chakula alicholetewa na mpenzi wake ambaye ni mke wa mtu......
Taarifa zaidi zinadai kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa na
uhusiano wa karibu sana
na mke wa mtu ambaye mbali na starehe za kimapenzi
alikuwa pia anampekea
chakula cha jioni Baada ya mchezo huo kudumu kwa muda, mume wa mwanamke
aliusoma mchezo mzima na kuandaa Mtego wa kuwaangamiza wote....
Habari zinadai kwamba
Siku ya jumatano jioni
mwanaume huyo aliwahi kurudi nyumbani na
kufanikiwa kukinasa chakula kilichokuwa kimeandaliwa tayari kwa kupelekwa kwa
huyo mwanafunzi ambaye alikuwa anatembea na mke
wake.....
Baada ya kukinasa, alijifanya kuzuga na kupotezea...Mkewe
alipotoka alikichukua na kukitia sumu chakula hicho na kisha kukiweka kama
kilivyokuwa kimeandaliwa....
Lengo lake lilikuwa ni
kuwamaliza wote maana alijua ni lazima akifika watakaa na kula pamoja.....
Mwanamke alipopeleka
chakula hakukaa kula na badala yake alimwambia yule
mwanafunzi kuwa mume wake amewahi kurudi siku hiyo hivyo hatoweza kukaa wale pamoja....
Mwanafunzi huyo akakipokea na kukila na ndipo mauti
yakamkuta Habari toka chuoni
hapo zinadai kwamba
mwanafunzi huyo alikuwa amesha disco lakini alikuwa
amepewa nafasi nyingine ya kurudia mwaka wa pili , hivyo
aliendelea kukaa mtaani
kama mwanafunzi....
Mwili wa marehemu
bado uko Muhimbili kwa
uchunguzi zaidi baada ya
polisi kuuzuia kuzikwa....
Hizi ni habari mbaya
sana kwa wanafunzi
wa chuo hicho maana
ni jumatatu tu mwanafunzi mwingine alifariki katika hali ya kutatanisha baada ya
kifo cha mpenzi wake miezi michache iliyopita....
Habari za ndani zaidi
zinadai kuwa toka mwaka huu uanze mpaka sasa chuo cha IFM kimepoteza
wanafunzi 12 huku wawili wakiripotiwa kuwa na hali mbaya zaidi katika hospitali ya
Muhimbili....
KAMA UMEGUSWA NA HII HABARI KINAMNA YOYOTE ILE...
THEN COMMENT ""R.I.P.""
HALAFU WAWEZA ACHA ANY ""COMMENT"" AU NENO LOLOTE KWA HILI TUKIO.

No comments:
Post a Comment