BREAKING NEWzzzz .... MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA UPYA KESHO JUMATATU TAREHE 27/5/2
Habari za kuaminika kutoka kwa Ndugu wa karibu wa Mh. Naibu Waziri Philip
Mulugo anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa matokeo
yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa
marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja.
Credits: Talkbongo blog
MAKALA: TUMETAYARISHA AJENDA GANI KWA OBAMA?
Markus Mpangala
Ziara ya Barrack Hussein Obama inaelekea kuwagusa wengi mno. Baadhi yetu
tunaguswa na idadi ya watu watakaokuwepo kwenye ziara hiyo, ambao ni 700.
Wengi wanajaribu kujiuliza ni kwanini Obama akae siku 4 nchini Tanzania.
Lakini kwangu mimi muhimu sio siku zake atakazokuwepo hapa wala idadi ya
watu atakaoambatana nao. Jambo muhimu kwangu ni Tanzania.
Naam, rais mstaafu George Bush alikaa hapa siku kama hizo hizo. Lakini
wengi walidhani matokeo ya ziara yake ni siku chache ama zaidi. Sasa Obama
anakuja, haendi Kenya, bali anakuja Tanzania. Hata hivyo tuendelee kufikiri... more »
MARTHA GEWE ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS UKONGA 2013
Mshindi wa Shindano la Redd’s Miss Ukonga 2013, Martha Gewe (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Diana Joachim (kushoto)
pamoja na mrembo aliyeshika nafasi ya tatu, Natasha Mohamed mara baada ya
warembo hao kutangazwa kuwa ndio washindi wa shindano hilo Usiku wa kuamkia
jana katika shindano lililofanyika Ukumbi wa Wenge Garden Ukonga Mombasa
jijini Dar es Salaam. Martha aliwashinda warembo wengine 12 katika shindano
hilo.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Ukonga 2013
wakiwa katika picha ya pamoja kutoka kushoto ni Vanesa Magile,... more »
BARCELONA WAONGEZA JEMBE JIPYA, WAMSAINISHA NEYMAR KWA MIAKA MITANO.
*Neymar akichuana na Messi wakati wa mechi yao ya fainali ya Kombe la
Dunia la Klabu baina ya Barca na Santos mwaka juzi* *Neymar akichuana na
Glen Johnson wakati wa mechi baina ya timu ya taifa ya Brazil na England*
*Neymar akionyeshana shughuli na Tom Cleverly* *Karibu Barca mwana....
Neymar akipongezana na Lionel Messi baada ya mechi yao ya fainali ya Kombe
la Dunia la Klabu mwaka juzi. *
BARCELONA imefanikisha kumsajili mshambuliaji wa Santos, Neymar kwa dau
linalokadiriwa kuwa euro milioni 28 leo.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil atajiunga na Barcelona k... more »
YANGA KWA MBWEMBWE, WANAMTUMISHI PALE IKULU KWA JK AMBAYE HIVI SASA NI OFISA.
*UNAMKUMBUKA ?.*
*Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Juma Kaseja
kulia ambaye ni kipa namba moja wa timu hiyo na klabu ya Simba SC, akiwa na
kipa wa zamani wa Yanga SC (2000-2003), Matokeo Lucas katika viwanja vya
Ikulu, mjini Dar es Salaam Alhamisi wiki hii, wakati wachezaji wa Taifa
Stars walipozuru Ikulu kwa mwaliko wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Matokeo
kwa sasa ni mtumishi wa Ikulu, katika kitengo cha Udereva.*
HIVI HUYU LULU HANA MTU WA KUMSHAURI ILI AVAE NGUO ZENYE HESHIMA ?.
*Muigizaji wa kike aliyekulia kwenye tasnia ya bongo movie, kwa kuwa
alianza tangu akiwa mdogo na hadi sasa kipaji chake kinazidi kung’aa.
Haishii kung’arisha kipaji chake tu bali anazidi kuwa na muonekano wenye
mvuto pia.*
* *
Lulu anaonekana hana stress tena kama ilivyokuwa siku kadhaa zilizopita
alipokuwa chini ya ulinzi mkali akituhumiwa kusababisha kifo cha muigizaji
mwenzake Steven Kanumba.
Huu ndio muonekano wa Lulu sasa hivi:
JESHI LA POLISI LIMEENDELEA KUWATIA MBARONI WACHOCHEZI WA VURUGU
**
[image: vujo-mtwara]
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu “MKUUPOLISI” & nbsp; Ofisi ya Inspekta Jenerali wa Polisi,
Simu : (022) 2110734 Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556 S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja: DAR ES SALAAM.
26 MAY 2013
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mafanikio makubwa, Jeshi la Polisi nchini limeendelea kuwakamata
wachochezi wanaotumia simu za mkononi (sms) ili kuchochea vurugu na fujo
hapa nchini ambapo huko mkoani Lindi amekamatwa mtu mwingine mmoja kw... more »
FREEMAN MBOWE ATEMA CHECHE KATIKA MKUTANO WA HADHARA KANDA SONGEA.
Mwenyekiti wa Chana cha Chadema - CDM - Taifa na Kiongozi wa kambi ya
Upinzani Bungeni, Mhe Freeman Mbowe, (Mb.) akihutubia umati wa watu katika
viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe manispaa ya Songea wakati wa kampeni
ya Chama hicho kuzindua kanda ya kusini leo. (Picha na Juma Nyumayo)
Mhe. Freeman Mbowe, akisisitiza umuhimu wa wananchi wa mikoa ya Kusini,
hasa mkoa wa Ruvuma ambao hauna Mbunge wa Upinzani hata mmoja kujiunga na
vita ya kupambana na ufisadi na kunyimwa haki wananchi kwa kujiunga
na upinzani katika viwanja vya Shule ya Msingi Matarawe Manispaa ya Songea... more »
UNYAMA: VIKONGWE WATATU WAUAWA KIKATILI KWA KUCHOMWA MOTO HUKO BUNDA .... RIPOTI KAMILI YA HABARI NA PICHA HII HAPA
**
MAUAJI ya kikatili yametokea usiku wa kuamkia leo wilayani Bunda, mkoani
Mara baada ya watu wenye hasira wa kijiji cha Kasaula kuwauwa kwa
kuwachinja kama Kuku kisha kuwachoma moto vikongwe watatu kwa kuwatuhumu
wanajihusisha na vitendo vya kishirikina.
Pia watu hao mbali na kuwaua kikatili vikongwe hao kwa tuhuma kwamba
walimuua kijana mmoja aitwaye Sale Ligolo, walichoma moto na kuteketeza
nyumba walizokuwa wakiishi wazee hao pamoja na kupora kuku waliokuwa
wakiwafuga na kuwatafuna kumaliza hasira zao.
Kwa mujibu wa wa taarifa ya mwandishi Masau Bwire aliyepo Bunda kwa sasa,
tu... more »
Uchaguzi mdogo wa jimbo la Chambani Mkoa wa Kusini Pemba CCM kufanyika Juni 16.
[image: 383]Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi
Seif Ali Iddi (pichani) kesho anatarajiwa kuzindua rasmi Kampeni za
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chambani Mkoa wa Kusini Pemba kupitia Chama
hicho kwa nafasi ya Kiti cha Ubunge.
Uchaguzi huo mdogo wa Jimbo la Chambani umekuja kufuatia aliyekuwa Mbunge
wa Jimbo hilo Marehemu Salim Hemed Khamis kufariki dunia kutokana na
maradhi ya moyo mnamo Tarehe 26 Machi Mwaka huu.
Balozi Seif ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar atahutubia
Wanachama wa CCM, Wapenzi na Wananchi wa Jimbo hilo katika Mkutano wa
ha... more »
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI A BARAZA LA MAPINDUZI DKT. SHEIN AONDOKA NCHINI
[image: IMG_1091]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China
katika Zaiara ya Kikazi kwa mualiko wa Serikali mya China,{Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.] [image: IMG_1092]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Maafisa wa Ubalozi wa China,wanaofanyia kazi Zanzibar, katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,akielekea Nchini China
katika Zaiara y... more »
ZITTO KABWE:URGENT ADVISORY NOTE TO HE PRESIDENT JAKAYA KIWETE
*URGENT - Advisory note*
*To H E President Jakaya Kikwete*
*United Republic of Tanzania*
*
*
*The licensing process should be suspended until we have proper policy and
legislation in place. The terms of the PSCs to be agreed in the 4th Licensing
Round will determine how Tanzania benefits from natural gas. The fourth
phase presidency could have a huge impact that could last for generations –
if it makes the right decisions in the next two years.*
*
*
*There is time. BG announced on May 14 that it would be 3-4 years before
they reach the “project sanction/final investment deci... more »
HIVI NI, VITUKO VILIVYOAZALISHWA NA BINADAMU KWA WANYAMA, JE WENYEWE WANAJITAMBUA KWA HALI HIYO ?.
*HAPA MBWA WAKIWA WAMEFUNGISHWA NDOA ILI KUWEZA KUFANANA NA BINADAM NAMNA
ANAVYOWEZA KUOA MKE, SIJ*
*UI KAMA VIUMBE HAWA WANATAMBUA MAWAZO YA BINADAMU !!!*
*MBWA AKIWA JUU YA BAISKE HUKU IKITEMBEA.*
*NGEDERE AKIWA KATIKA BAISKELI*
ADHA YA WENYE MAGARI MIJINI HII HAPA.
*MWENYEKITI wa Umoja wa waandishi wa habari mkoa wa Morogoro (MOROPC) Idda
Mushi kushoto akiwa mmoja wa mashuhuda wa tukio la gari kufungwa nyororo
eneo la daraja la Shan baada ya wafanyakazi wa maegesho kufunga gari hilo
kwa madai ya kuegesha gari kat*
*ika eneo ambalo haliruhusiwa mkoani Morogoro.*
MWALIMU NYERERE, KAWAWA WATAMBULIWA UMOJA WA AFRIKA.
*BABA wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ni miongoni mwa Watanzania
watatu wanaotarajiwa kutambuliwa na kuenziwa na Umoja wa Afrika (AU) rasmi
kama Mwafrika Mashuhuri wa Kimaj*
*umui.*
Hatua hiyo inatokana na kuheshimu mchango wao katika mapambano ya Uhuru
wa Afrika na kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) ambao sasa
unajulikana kama AU.
Watanzania wengine katika kundi hilo la ‘Mwafrika Mashuhuri’ ni Rashidi
Kawawa na Sebastian Chale, Katibu Mkuu wa Kwanza wa Sekretarieti ya Kamati
ya Ukombozi wa OAU, ambao kwa sasa ni marehemu.
Kutokana na mchango wa... more »
AIBU: WAZIRI WA MADINI AZOMEWA HIVI "CHURA...CHURA....CHURA" NA WAMACHINGA MJINI DODOMA JIONI YA JANA...!!
*KATIKA hali isiyo ya kwaida jana jioni , waziri muhongo amepatwa na
kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa
mjini kati. *
* *
*Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani
wamachinga, walianza kumzomea kumuita “chura! Chura! Chura! Chura!” *
* *
*Hali iliyompelekea Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari
iliyokuwa ikimsubiria pembezoni mwa barabara. *
* *
*Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi
za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !
MAONI.
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa... more »
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAIS WASTAAFU HUKO ADDIS ABABA.
*Rais Jakaya Kikwete akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi (kushoto kwake), Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Afrika Mstaafu Dk Salim Ahmed Salim (kulia)
kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya AU alipokutana nao jijini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Mei 26, 2013. Viongozi hao wastaafu ni miongoni mwa wageni
mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe hizo.*
*Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wanahabari baada ya kuhudhuria
Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC
na nchi za Maziwa Makuu katika makao ma... more »
BREAKING NEWS.....IRINGA NI SHWARI MACHINGA WAPINGA KUTUMIKA KISIASA ,RC IRINGA AWAPONGEZA MACHINGA KWA KUREJEA MLANDEGE .... HALI IPO HIVI SASA ...
Baadhi ya maduka eneo la Mashine tatu mjini Iringa yakiwa yamefungwa kwa
hofu ya kutokea vurugu ,ambazo hata hivyo hazijatokea baada ya machinga
kugoma kutumiwa kisiasa
Hali ilivyo eneo la Mashine tatu mjini Iringa
Haya ni maadishi yanayosomeka HATARI yaliyochorwa na watu wasiojulikana
usiku wa kuamkia jana kama sehemu ya kuwatisha wananchi na kuhamasisha
vurugu kabla ya jeshi la polisi kuweka ulinzi mkali eneo hilo
Wafanyabiashara wa maduka ya mchele eneo la mashine tatu wakiendelea na
biashara zao kwa utulivu zaidi leo
Hili ndilo eneo la mashine tatu kama linavyoonekana... more »
RAIS KIKWETE AKUTANA NA MARAIS WASTAAFU, AHUDHURIA KIKAO CHA AMANI DRC CONGO
[image: aa1]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizingumza na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan
Mwinyi, Mzee Benjamin Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu wa Umoja
wa Afrika Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim kuhusiana na sherehe za miaka 50 ya
AU alipokutana nao jijini Addis Ababa, Ethiopia, leo Mei 26, 2013. Viongozi
hao wastaafu ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioaliokwa kwenye sherehe
hizo.
[image: aa2]
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wanahabari baada ya kuhudhuria
Mkutano wa Kanda wa Usimamizi wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika DRC
na nchi za Maziwa Makuu katika ma... more »
WAKUU WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA NA TANZANIA WASAINI MAKUBALIANO YA KUTOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA
[image: polis3 e8582]
Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Namibia, Kamishna Jenerali Evaristus
Shikongo akiijaribu moja ya silaha inayotumika kwa ajili ya kutuliza ghasia
wakati wowote inapotokea ndani na nje ya gereza
[image: polis4 7e52b]
Askari wa Kikosi Maalum cha Kutuliza Ghasia Magerezani, wakimuonesha mbinu
za kupambana na adui pasipo kutumia silaha Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini
Namibia,
[image: polis5 1e862]
Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, ACP Mbaraka Semwanza akitoa
taarifa fupi ya chuo hicho kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini Namibia,
Kamishna Jenerali Evarist... more »
BUNGE LAAHIRISHWA TENA LEO:
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Anna Makinda
ameliahirisha tena bunge leo asubuhi ili kupisha kamati ya uongozi ya Bunge
iendelee kukutana ili kutoa maamuzi na tamko kuhusu vurugu za Mtwara
zilizojotokeza jana na kusababisha mtu mmoja kufariki dunia na uharibifu
mbalimbali kutokea ikiwemo kuchomwa moto nyumba za viongozi wa
serikali,chama cha mapinduzi na nyumba ya mwandishi wa habari wa TBC.
[image: BUNGE LAAHIRISHWA TENA LEO:Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh.Anna Makinda ameliahirisha tena bunge leo asubuhi ili kupisha
kamati ya uongozi ya B... more »
HABARI KUTOKA ZANZIBAR ZINASEMA SHEHE AMWAGIWA TINDIKALI
;Sheha wa Tumondo Mohamed Omary Said,amemwagiwa tindikali na mtu
asiyejulikana na hivyo kupata maumivu makali sehemu yake ya kifua na jicho
kuumia pia.
Sheha huyo alikimbizwa katika Hospitali ya Mnazi mmoja mjini Unguja ambapo
alipatiwa matibabu ya dharura.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi,Mukhadam Khamis,amesema chombo
kilichotumika kumwagia tindikali Sheha huyo kilipatikana eneo la tukio na
kwamba polisi imekichukua kwa kukichunguza kitaalam ili kugundua aliyekuwa
akikitumia kwa kuangalia alama za vidole.
Sheha huyo alimwagiwa tindikali jana usiku wakati alipotoka nj... more »
Nigeria kuwaachiliwa wanawake washukiwa
Wapiganaji wa Boko Rama wamewateka nyara wanawake na wasichana
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan, ameamuru kuachiliwa kwa wanawake wote
waliokamatwa kwa kuhusishwa na vitendo vya kigaiidi. Hii ni kwa mujibu wa
taarifa kutoka wizara ya ulinzi.
Kulingana na wizara hiyo, uamuzi huo ulilenga kuimarisha juhudi za amani
nchini Nigeria.
Taarifa zinazohusiana
- Siasa
Jeshi linaendesha operesheni katika majimbo matatu ambako sheria ya hali ya
hatari ilitangazwa wiki jana ili kuwezesha jeshi kupambana vilivyo na
wapiganaji wa kiisilamu wa Boko Haram.
Kundi hilo lilisema kuwa halitawaac... more »
Mapigano yaendelea kwa siku ya pili Goma
Mamia wanatoroka maeneo ya vita Goma kukimbilia usalama wao
Makabiliano kati ya jeshi na waasi wa kundi la M23 Mashariki mwa Congo
yameendelea kwa siku ya pili.
Pande hizo mbili, zilifyatuliana risasi mjini Goma huku kila upande
ukituhumu mwingine kwa kuanzisha uchokozi na kuchochea mapigano.
Taarifa zinazohusiana
Mapigano yalianza Jumatatu na kumaliza makubaliano ya miezi sita ya
kusitisha vita kati ya wanajeshi wa serikali na waasi wa kundi la M-23 ,
ambao waliwahi kuteka mji wa Goma mwaka jana ingawa kwa muda mfupi.
Mtaalamu wa maswala ya kijeshi amesema kuwa waasi wa M23 wanat... more »
Tume yapendekeza wakuu kushtakiwa Kenya
Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake Ruto wametajwa katika ripoti hiyo
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na naibu wake wametajwa katika ripoti
inayowahusisha na ghasia za baada ya uchaguzi katika ripoti iliyosubiriwa
kwa muda mrefu kuhusu ukiukwaji wa haki za bindamau nchini humo.
Ripoti hiyo hata hivyo haikutoa mapendekezo ya hatua inazotaka kuchukuliwa
dhidi ya Rais Kenyatta na naibu wake William Ruto.
Taarifa zinazohusiana
Mwenyekiti wa tume hiyo, aliambia BBC kuwa ni kwa sababu wawili hao
wanakabiliwa na kesi ya uhalifu dhidi ya binadamu katika mahakama ya
kimataifa ya ICC.
Rais Kenya... more »
MAJINA YA WANAFUNZI WA CBE NA UDSM WALIONASWA WAKIJIUZA ( MAKAHABA)
**
*Wanafunzi wa kike wa chuo kikuu cha Dar es salaam [UDSM],Chuo cha elimu ya
biashara [CBE]na chuo cha mamlaka ya Elimu na ufundi stadi [VETA],Dar es
salaam ,wamefikishwa katika mahakama ya jiji samora wakidaiwa kufanya
biashara ya kuuza mili yao.*
*Washitakiwa hao waliokamatwa katika eneo la kona Baa Ambiance Sinza
wilayani kinondoni ambao ni miongoni mwa wanawake 35 wanaodaiwa kufanya
biashara hiyo na wote walifikishwa mahakamani hapo.*
*Kesi hiyo ilikuwa chini ya hakimu Willian Mtaki ambapo muendesha
mashitaka,bwana John Kijumbe,alisema wasichana hao walikamatwa katika
mazi... more »
VYUO MBALI MBALI VYA TANZANIA, SIFA ZA UOMBAJI, NAMNA YA KUOMBA, TOVUTI ZA VYUO HIVYO.
KWA WAOMBAJI WA KOZI MBALIMBALI TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ZIFUATAZO KWA
MSAADA ZAIDI:
Chuo cha ufundi Arusha (ATC).www.atc.ac.tz.
Sifa za mwanafunzi ni kupata angalau (D)katika masomo ya sayansi ambayo ni
mathematic,physics,chemistry kwa mwanafunzi wa kike but kwa mwanafunzi wa
kiume awe amepata (c) katika masomo mawili kati ya hapo juu baada ya hapo
ataitwa katika access course ambayo inachua muda wa miezi miwili na wiki
mbili mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini katika kila somo ambayo ni
mathematic,physics ,computer and mechanic gharama za acc
Ess course ni shilingi laki mbi... more »
VYUO MBALI MBALI VYA TANZANIA, SIFA ZA UOMBAJI, NAMNA YA KUOMBA, TOVUTI ZA VYUO HIVYO.
KWA WAOMBAJI WA KOZI MBALIMBALI TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ZIFUATAZO KWA
MSAADA ZAIDI:
Chuo cha ufundi Arusha (ATC).www.atc.ac.tz.
Sifa za mwanafunzi ni kupata angalau (D)katika masomo ya sayansi ambayo ni
mathematic,physics,chemistry kwa mwanafunzi wa kike but kwa mwanafunzi wa
kiume awe amepata (c) katika masomo mawili kati ya hapo juu baada ya hapo
ataitwa katika access course ambayo inachua muda wa miezi miwili na wiki
mbili mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini katika kila somo ambayo ni
mathematic,physics ,computer and mechanic gharama za acc
Ess course ni shilingi laki mbi... more »
VYUO MBALI MBALI VYA TANZANIA, SIFA ZA UOMBAJI, NAMNA YA KUOMBA, TOVUTI ZA VYUO HIVYO.
KWA WAOMBAJI WA KOZI MBALIMBALI TAFADHALI TEMBELEA TOVUTI ZIFUATAZO KWA
MSAADA ZAIDI:
Chuo cha ufundi Arusha (ATC).www.atc.ac.tz.
Sifa za mwanafunzi ni kupata angalau (D)katika masomo ya sayansi ambayo ni
mathematic,physics,chemistry kwa mwanafunzi wa kike but kwa mwanafunzi wa
kiume awe amepata (c) katika masomo mawili kati ya hapo juu baada ya hapo
ataitwa katika access course ambayo inachua muda wa miezi miwili na wiki
mbili mwanafunzi anatakiwa kupata alama hamsini katika kila somo ambayo ni
mathematic,physics ,computer and mechanic gharama za acc
Ess course ni shilingi laki mbi... more »
MBUNGE WA CHADEMA PETER MSIGWA ASHIKILIWA NA POLISI BAADA YA VURUGU ZA MACHINGA NA MGAMBO WA MANISPAA IRINGA.RUMANDE.
[image: BREAKING NEWS!! MBUNGE MSIGWA AKAMATWA,KISA KUWATETEA RAIA WAKE:
Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM inastahili kuingia katika rekodi
ya Serikali za kidikiteta duniani kwa kuwanyanyasa raia wake,hasa
wanaoonekana kukataa chama Tawala yaani CCM.Wamachinga Iringa mida hii
wanapigwa mabomu kana kwamba ni digidigi kstika nchi yao.Serikali
imewawezesha kiuchumi na kuwapa eneo stahili ambalo ni rafiki kwao kabla ya
kuwatimua tena kwa Mabomu kama majambazi?CCM mwogopeni hata Mungu kwa
mnavyowanyanyasa Watanzania wenzenu,kumbuka huo udikiteta mnaoutumia kwa
binadamu wenzenu ma... more »
MATUKIO NA PICHA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe Zakaria
Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akimsindikiza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe
Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya
mazungumzo yao. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar
Imetumwa Na: Emmanuel Shilatu at 7:00 PMNo comments:
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook
Reactions:
Kinywaji cha Chi... more »
BAADA YA KUWEPO HOFU YA MAANDAMANO, MJI WA MTWARA WATAWALIWA NA UKIMYAA, SHUGHULI ZA SIMAMA, ULINZI KILA KONA. .... ONA HALI ILIVYOKUWA
Ulinzi umeimarishwa kila kona
Hali ya usalama ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani ni tete. Soko Kuu,
kituo kuu cha mabasi na maduka yamefungwa tangu asubuhi. Usafiri wa
Pikipiki unapatikana katika baadhi ya maeneo machache ya mji, huku maneo
makuu ya biashara yakiwa wazi bila ya pilikapilika za watu kama ilivyo
kawaida.
Polisi wakiwa kwenye magari wameonekana katika maeneo mbalimbali ya mji, na
wengine kuweka makambi madogo katika maeneo yanayoaminika kuwa na
msongamano wa watu katika siku za kawaida.
Mwandishi huyu ameshuhudia magari ya polisi yakiwa na askari katika maeneo
ya ... more »
Untitled
[image: kijiji]
PICHA ZA AJABU ZA MBURULAZZ WA KOMEDI BONGO ZAZUA KIZAA ZAA NA MEDIA!!
Masanii wa kundi la Ze Komedy Master Face akiwa na mmoja wa wasichana hao.
Hapa msanii Kiwewe akiwa amewakumbatia wabint hao kabla ya kuingia nao
kwenye maji
Mmoja wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kinguo
cha aibu kabla ya kukivua kabisa.
Hapa tayari akiwa amechojoa nguo
Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana
Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni
aibu mbele ya watu
... more »
Untitled
[image: kijiji]
PICHA ZA AJABU ZA MBURULAZZ WA KOMEDI BONGO ZAZUA KIZAA ZAA NA MEDIA!!
Masanii wa kundi la Ze Komedy Master Face akiwa na mmoja wa wasichana hao.
Hapa msanii Kiwewe akiwa amewakumbatia wabint hao kabla ya kuingia nao
kwenye maji
Mmoja wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kinguo
cha aibu kabla ya kukivua kabisa.
Hapa tayari akiwa amechojoa nguo
Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana
Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni
aibu mbele ya watu
... more »
UZEMBE WA MAMA LISHE WASAABABISHA HASARA MKOANI SINGIDA.
*KAMANDA wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela akizungumza na
waandishi wa habari(hawapo pichani) ofisini kwake kuhusiana na tukio la moto
*.
*********
Na Nathaniel Limu.
Vibanda vinne vya biashara vinavyozunguka soko kuu la Manyoni mjini mkoa wa
Singida, vimeteketea kwa moto unaodaiwa kusababishwa na mamalishe kusahau
kuzima moto wakati akifunga biashara yake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela amesema mtu wa kwanza
kuuona moto huo ulioanzia kwenye kibanda cha mama lishe, ni mlinzi wa soko
hilo aliyejulikana kwa jina la Jotamu Daud.
Kamanda huyo amesema ... more »
ASKOFU MTEGA ASTAAFU
Waumini wa kiwa njia panda wakingoja kauli ya Uhakika kuhusu Mhashamu
Norbet Mtega ni kweli Amestahafu ?
Mhashamu Askofu Norbeth Wendelin Mtega.
.....................................................
Na Nathan Mtega,Songea.
BAADHI ya waumini wa kanisa katoliki jimbo kuu la Songea waishio katika
maeneo mbali mbali mjini Songea mkoani Ruvuma wameonesha kushitushwa na
taarifa zilizo patikana za kujiuzulu kwa kiongozi mkuu wa jimbo kuu la
Songea , Mhashamu Askofu Norbeth Wendelin Mtega.
Taarifa za kujiuzulu kwa kiongozi huyo zilipatikana jana majira ya saa 7
mchana ambazo zilielez... more »
Matukio na picha ya leo may 17
Sylivester nyagwisi - 1 week ago
UZEMBE WA MAMA LISHE WASAABABISHA HASARA MKOANI SINGIDA.
*KAMANDA wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela akizungumza na
waandishi wa habari(hawapo pichani) ofisini kwake kuhusiana na tukio la moto
*.
*********
Na Nathaniel Limu.
Vibanda vinne vya biashara vinavyozunguka soko kuu la Manyoni mjini mkoa wa
Singida, vimeteketea kwa moto unaodaiwa kusababishwa na mamalishe kusahau
kuzima moto wakati akifunga biashara yake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela amesema mtu wa kwanza
kuuona moto huo ulioanzia kwenye kibanda cha mama lishe, ni mlinzi wa soko
hilo aliy... more »
Matukio na picha ya leo may 17
Sylivester nyagwisi - 1 week ago
UZEMBE WA MAMA LISHE WASAABABISHA HASARA MKOANI SINGIDA.
*KAMANDA wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela akizungumza na
waandishi wa habari(hawapo pichani) ofisini kwake kuhusiana na tukio la moto
*.
*********
Na Nathaniel Limu.
Vibanda vinne vya biashara vinavyozunguka soko kuu la Manyoni mjini mkoa wa
Singida, vimeteketea kwa moto unaodaiwa kusababishwa na mamalishe kusahau
kuzima moto wakati akifunga biashara yake.
Kamanda wa polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela amesema mtu wa kwanza
kuuona moto huo ulioanzia kwenye kibanda cha mama lishe, ni mlinzi wa soko
hilo aliy... more »
Polisi mstaafu amcharanga mapanga mwanae wa miaka 4 [TAHADHARI: Picha za kukwaza]
Tukio hilo limetokea leo jioni nyumbani kwa Bwire baada ya kuanza kugombana
na mke wake Happiness Elius (28) huku akiwa amelewa pombe ambapo, mkewe
alikimbia kitu kilichosababisha kumgeukia mtoto Devotha na kuanza kumkata
mapanga kichwani.
Kwa mujibu wa majirani, kelele zilisikika kutoka kwenye mji huo na kwamba
walipoenda walimkuta Bwire akichoma nguo za mke wake, na alipowaona
aliingia ndani na kuanza kumkata mapanga mtoto huyo huku akiwa amefunga
mlango. * *
[image: Madaktari na wauguzi wakimhudumia mtoto huyo]
Madaktari na wauguzi wakimhudumia mtoto huyo
[image: polisi-amcharang... more »
No comments:
Post a Comment