Tuesday, June 11, 2013

GARI AINA YA CENTER YAUA MWANAMKE BAADA YA KUSHINDWA KUPANDA MLIMA NA KUPINDUKA MORO


 Askari wa jeshi la polisi wakiandika maelezo ya awali mara baada ya mchoro, kufuatia gari aina ya center kupata ajali na kusababisha mtu mmoja kufariki dunia papo hap
o baada ya kupinduka ambapo chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni kushindwa kupanda mlima katika barabara ya mjini-Forest Hill eneo la shule ya msingi Mlimani mkoani Morogoro.
 Chini mwili wa marehemu ukiwa katika mtaro
 Wasamalia wema wakipakiza maiti katika gari ya polisi kwa ajili kwenda kuhifadhi katika chumba cha maiti hospitali ya mkoa wa Morogoro
 Hapa magunia yenye mpunga yakiwa wameanguka kutoka kwenye gari hilo.
 Huyu ni mume wa marehemu akiwa eneo la tuko baada ya kupata taarifa za ajali hiyo.
 Gari la polisi ambalo lilibeba maiti kabla ya kuondoka eneo la tukio
 Mwili wa marehemu ukiwa umepakiwa katika gari hilo la polisi

No comments: