Wednesday, December 26, 2012

PICHA 10 ZA USHAHIDI JINSI MBUNGE GODBLESS LEMA ALIVYOPOKEWA ARUSHA DEC 23 2012.

Mapokezi ya Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema katika jiji la Arusha leo, Lema ameshinda rufaa jana ya kesi yake iliyomfanya avuliwe ubunge na Mahakama.
.
.
.
.
.
.
Jamaa nae anadai anachukua video.
Godbless Lema na mbunge Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki.
Mke wa Godbless Lema na mtoto wao kwenye mapokezi. (Picha zote zimepigwa na Mroki wa mrokim.blogspot.com)

ALICHOSEMA NAPE KWA LEMA

HUYU NDIO MTANZANIA ALIETANGAZWA MISS EAST AFRICA 2012 DEC 21.

Huyu ndio mtanzania Joseline Dyna Maro (22) Miss East Africa 2012, hajaishi Tanzania kwa muda mrefu, kabila lake ni Mchaga na kwenye maisha yake ameishi Kenya, South Afrika, England na Ivory Coast, yeye na wazazi wake wamefanya exclusive interview na mimi ambayo itasikika jumatatu kwenye AMPLIFAYA CLOUDS FM.
.
.
Hawa ndio washindi wa nafasi ya pili na ya tatu, Miss East Africa Uganda na Miss East Africa Burundi.
Top 5
Top 10.
Gaetano ndio alikua MC ambapo shindano limefanyika Mlimani City Dar es salaam.
.
Mad Ice aliperform.
.
.
.
.
.

HII NDIO AJALI MBAYA YA BASI NA LORI USO KWA USO LEO MBEYA.

Unaambiwa zaidi ya abiria 40 wamenusurika kifo hapa, hili basi lilikua linatoka Mbeya kwenda Dar es salaam na limegongana na lori uso kwa uso sehemu inaitwa PIPE LINE INYALA, mwenye makosa anatajwa kuwa dereva wa lori alielipita gari jingine kwenye kilima na kukutana na basi uso kwa uso.
Dereva wa lori kakimbia baada ya ajali.
.
Huyu mtoto kasimulia na kusema alikua nyuma ya dereva kabisa na kilichomsaidia ni kufunga mkanda, mama aliyekua kakaa nae jirani ameumia sana kwa sababu hakufunga mkanda.
.
.
.
Baadhi ya majeruhi. (Picha zote zimepigwa na mbeyayetu.blogspot.com)

HABARI KUBWA ZA KURASA ZA MWANZO NA ZA MWISHO MAGAZETINI LEO..

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.