Monday, August 5, 2013

Hii ndio Benz mpya anayoendesha mwigizaji Irene Uwoya.




OLYMPUS DIGITAL CAMERA
Irene Uwoya ambae ni Mrs Ndikumana akiwa pia ni mama Krish hivi karibuni ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka @CloudsTV jumanne wiki hii, pamoja na hilo right now nakukukutanisha na picha za gari lake jipya ambalo analiendesha kwa sasa.
Ni Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambapo japo gharama imebaki kuwa siri ukicheki kwenye mtandao wa Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

No comments: