Saturday, August 31, 2013
HII NAYO KALI BALOTELLI AAMUA KUFUGA NGURUWE TOFAUTI NA MASTAA WENGINE WANAOFUGA MBWA
WAKATI watu wengine wanafuga mbwa au paka kama wanyama rafiki, mchezaji mtukutu Mario Balotelli ameamua kufuga nguruwe.
Katika ununuzi wake wa ajabu hivi karibuni, mshambuliaji huyo wa
kimataifa wa Italia, alishangaza watu kwa mara nyingine tena kwa staili
yake ya masiha baada ya kununua mtoto wa nguruwe.
Akitupia picha kwenye mtandao wa Twitter, Balotelli akawaambia wafuasi wake milioni moja katika mtandao huo: “Hatimaye nguruwe wangu mdogo amewasili, ana umri wa miezi miwili, ni wa kike lakini nimemuita SUPER!”.
Alikuwa akikumbukia jina lake la utani Super Mario alilopewa wakati akiwa Manchester City.
Ilionekana kuleta mchanganyiko kidogo watu wakiwa hawajui iwapo rakiki yake huyo mpya ni mwanamke au mwanaume.
Nyota huyo wa miaka 22 akaandika: “Hakika nimeshindwa kubaini hivyo nadhani ni mwanamke ahahahaha lakini pia pengine ni mwanaume Ahahah.”
Inaaminika nguruwe huyo atajizolea umaarufu mkubwa ndani ya jiji la Milan.

ZIJUE SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WENGI KUKOSA WAUME WA KUWAOWA KWA 100%
Nimefuatilia kwa kina nakujiuliza ni kwanini wasichana wengi kuolewa imekua tabu?
Na hii ni research nimefanya kwa wasichana na vijana wa kiume ili nipate majibu sahihi.
Nimekuja kugundua matatizo ya wasichana ni mengi ndio chanzo cha wao kukosa waume.
1. Umalaya –
Ule wakati binti anaanza kuchanua badala ya kujitunza nakujiheshimu yeye ndio anatumia nafasi hiyo kuuchezea mwili wake kila mwanaume anayemtongoza anamkubali mwisho anajikuta ana maboyfriend zaidi ya mmoja, hapo anaanza kuangalia sasa maslahi na sio upendo wa dhati anajikuta kaingia kwenye wrong choice basi ataendelea kusakanyia mwengine na mwengine na mwengine ili akutane na right choice hapo kuna mabuzi kibao kuna waume za watu na vijana matapeli wote anabambana nao mwisho anashtukia yuko above 30 ana anza kulia ohh na mkosi sijui nuksi nk.
2. Maringo – Nipale wakati binti anapokua nakujishtukia kuwa yeye ni mrembo wa ukweli, basi hapoa ataanza kujisikia kuwa yeye ni yeye kudharau wengine na kujiona babkubwa na kuwa too much selective, inapotoke kijana kampenda atakapomfata huwa anamuangalia nakumuona hana hadhi ya kuwa na yeye, itaendelea hivyoooooo mwisho atakuja kukutana na kijana mtanashati wa ukweli hapo ndio atajiaminia huyo ndio mwenye hadhi yake kumbe gubegube, mpaka aje kugundua kashaumizwa anaanza sasa kuumizwa kila mara hapo ataamua sasa kujishusha na kusarandia vijana wa kawaida, kila atakae date nae anakuta ni mchumba wa mtu au mume wa mtu au bf wa mtu, hapo ndio tayari keshakua majeruhi wa mapenzi basi itabidi aishie kuchuna mabuzi fumba na kufumbua yuko above 30 anaanza kulia nina mkosi ohh nuksi nk.
3. Roho ya kukataliwa – samahani maana hii ipo spiritual zaidi mtaniwia radhi, kiukweli kuna watu wana roho ya kukataliwa utakuta ni msichana mrembo tabia nzuri na sifa zote nzuri anazo shida ni akwamba wachumba wanamkataa dk za mwisho, ikumbukwe huyu sio muhuni anajiheshimu na anajitambua vizuri, atapata mchumba ghafla mchumba atamtema nakwenda kwa msichana mwingine inaweza kuwa kashamvisha hata pete ya uchumba wameshatambulishana hata kwa wazazi haijalishi mwanaume atamtema tuu, hawa kwakweli ndio wanaongoza kwakujiita wana mkosi nuksi nk.
4. Majini Mahaba – Baadhi ya wasichana wana majini mahaba kwahiyo kuolewa kwao imeshakua ni tabu anaweza apate mchumba afe au mwanaume abadilike tabia nakumchukia au mwanaume aanze kuwa Malaya na kushindwa kumvumilia hatimaye wanaachana mauzauza yanakuwa kibao kwenye mapenzi yake mwisho anajishtukia yuko above 30 anajiona ana mkosi na nuksi.
5. Marafiki wabaya – Msichana anaweza kuwa haolewi kumbe marafiki alionao sio wema kwake, ukipata mchumba tayari umeshaenda kumweleza shosti wako au mashosti zako, bila wewe kujua wanampeperusha, watakuzunguka ,watatembea nae, watamtega, watakuongelea vibaya, watakuloga, watamloga, watakuharibia mpaka utaachwa kila mara usipokua mjanja ukashtuka ndio hivyo uanajikuta uko abave 30 unaanza kulia ohh nina mkosi sijui nuksi nk.
Mpaka hapo nina amini kwa wewe msichana ambaye huolewi kuna fungu lako moja kati ya hayo hapo juu, sasa chakufanya jitambue na ujipange upya kama ushapita above 30 usihofu sana hata miaka 60 wanaolewa bado.
1. Umalaya – acha umalaya anza upya jitulize tubu mwombe Mungu sio uende kwa waganga, Mungu ndio
alieanzisha utaratibu wa ndoa atakusamehe na kukuhurumia na kukuletea mume wako na utayafurahia maisha.
2. Maringo – Mungu pia anachukia maringo acha kujisikia wewe ni wakawaida sana anza sasa kujishusha na umuombe Mungu msamaha atakusamehe na kukuhurumia na atakuletea mume wako na wewe utayafurahia maisha.
3. Roho ya kukataliwa – hii ilianza tokea tumboni kwa mamayako, mamayako akawa wa kwanza wewe ukawa wa pili kujikataa, sasa chakufanya vunja roho ya kukataliwa na uanze kujikubali vunja vunja vunja vunja roho ya kukataliwa zitavunjika roho zote na utakuwa huru kiulaini utampata mume wako na utayafurahia maisha.
4. Majini mahaba – haya wengi wameyapata kwa waganga tabia za wasichana kewenda kwa waganga kuwaloga wanaume na kwenda kulala kwenye maguest ovyohovyo sasa anza kutubu kwanza ndio umtafute Bony Mwaitege akufanyie maombi na kujiombea mwenyewe Mungu ni warehema atakuhurumia na utafunguliwa na utakuwa huru utampata mwenzi wako na wewe utayafurahia maisha.
5. Marafiki wabaya – Hata Mungu ametuonya sana juu ya marafiki sasa cha kufanya wewe punguza wimbi la marafiki haswa ukiwa na bf umpe nafasi yeye kuwa ndio rafiki ikibidi wakatie kamba mashosti zako kabisa na kamwe usiwahadithie juu ya mpenzi wako na kabla ya yote mwombe Mungu kwanza akusamehe na akuelekeze nini cha kufanya baada ya hapo mbona uta yafurahia maisha na mume wako Mungu atakaekupa.

HAWEZI " KU SEX " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO
Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua yuko vizuri , tu tunaendana vizuri na wote tunakua tuko tayari kungonoka ila wakati wa kungonoka ndo kasheshe linaanzia hapo.
Kwanza uume wake hauingii, yaani ni lazima ashikilie na mkono ndo aanze kuingiza na kutoa na hata kama akishikilia bado hawezi kutia kabisa yaani hawezi kwenda juu na chini na hata mimi nashindwa kumsapoti kukatika kwani uume wake unakua kama umeshasinyaana.
Kitu kingine alikua anadai eti uchi unateleza kwa hiyo ananifuta ndio aingize ukiwa mkavu kabisa wakati mimi najua uchi ukiwa una ute ndio rahisi kwa kufanya mapenzi na pia haiwi kazi ngumu kuingiza.
Uume wake ulikuwa unaonekana umesimama sana ila hauingii unakua kama hauna nguvu.
Huyu mwanaume alinitesa kweli kihisia kwani nilikua na ham sana lakini ndio hivyo hawezi kuingiza nakuiacha peke yake ....lazima aishikilie na mkono na ananifuta uchi uwe mkavu ndio ajaribishe kuingiza....
Yaani kuna mda tulikuwa tunafikia mpaka tunaamua kuacha kwani hafanikiwi kuingiza anajishikilia kwenye kichwa anaingiza kichwa kidogo.
Nakumbuka nimeshawahi kuwa nae siku mbili lakini alifanikiwa kuingiza mara moja na hakukaa hata dakika kumi ikatoka.
Alafu sijawahi muona akipiga bao zaidi ya mara moja tu .JE, hili ni tatizo gani kwa mwanaume huyu?
Ukimuangalia ni handsome, ananguvu za kutosha tu na uume wake unasimama vizuri na ni mkubwa vizuri na isitoshe nilikuwa namfanyia blow job ya kutosha na nampa romance ya kutosha kuhakikisha yuko tayari lakini wapi.
Mwenzenu yaliyonipata ndio hayo, Ingawa yule mwanaume niliachana naye ila kila siku nimekuwa nikifikiria je hili ni tatizo gani? Nimekaa na siri moyoni lakini kwa kweli imenishinda .
Na sio kwamba umri wake ni mkubwa ni bado kijana mdogo hajafika hata miaka thelathini, kwa mnaojua labda nini atumie ili awe anajiweza kimapenzi hata nijaribu kumshauri kwani nasikia hata msichana aliyenae sasa ameshaanza kulalamika kwa watu.
Na sikupenda lile tatizo lake kwani wakati wa tendo alikua anahangaika sana utamuonea huruma na tunaishia tu kujaribu kuingiza hatufanikiwi kufanya.
Asanteni.
USHAURI WA TATIZO:
Hili tatizo lipo kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wanaume lakini kutokana na UANAMUME huwa hawapendi kulizungumzia sio kwa wapenzi wao tu bali hata kwa madaktari.
MTAZAMO HUYO MTU ANATATIZO LIITWALO PARTIAL IMPOETANCE.
HUSABABISHWA NA VITU VINGI,WOGA WA MUNGU,WOGA WA MAHALI PA KUFANYIA TENDO,
WOGA WA MAGONJWA,WOGA KWA MSICHANA KWA MAANA YA KUOGOPA KUUMBUKA AU KUMKAMIA SANA MSICHANA AU KWA KUTAKA KUMWOMYESHA BINTI KUWA ANAYAWEZA. NA MSONGO WA MAWAZO KWA UJUMLA.PIA HUTOKEA KAMA MTU HAJAMFEEL SANA MTU AU ANASUTWA NA NAFSI KWA KUTAKA KUIBA NGONO.
NYONGEZA YA VISABABISHI.
1)-Maumbile ambayo wengi wanarithi.
2) - Mtu aliyezoea kupiga punyeto kwa muda mrefu
3)- Matatizo ya Kisaikolojia yaliyosababishwa na wanawake (ana historia mbaya na wanawake),
3)-Kuugua kwa muda mrefu huko nyuma (matokeo ya matumizi ya dawa mbali mbali),
4)-Kutojiamini,
5)- Wewe kutokuwa "relaxed" yaani unanyege na uko mnyevu lakini pia uko "tense" hatoweza kuingia na jinsi anavyojitahidi kuingia anashindwa inampunguzia kujiamini hata kuhisi kuchoka na kupoteza ugumu wa uume wake.
6)-Stress kutokana na maisha au shughuli za kimaisha na kazi.
7)-Kutokujua afanyacho (sio mzoefu sana) na labda anajua wewe mambo yako yako juu.
8)-Umri mdogo kitu kinachoweza kusababisha yeye kutokuwa tayari kwa tendo au kuwa kenye uhusiano wa kimapenzi na ngono......nakadhalika.
NINI KIFANYIKE?
Kutokana na umri mdogo wa mpenzi wako huyo wa zamani sidhani kama ni busara kumshauri kutumia dawa za kuongezea nguvu zile za kisasa au za kienyeji za kiume kabla ya kujaribu njia za kawaida ambazo hazina madhara .
Njia hizo ni kujitahidi na kujua hali yake hiyo inasababishwa na nini hasa? Na hilo litafanikiwa ikiwa ataondoa aibu na kuweka pembeni "ego" yake na kwenda kumuona Daktari na kumueleza yaliyomsibu huko nyuma kama yapo(Kisaikolojia), Kinachompata anapokuwa na wewe (labda kutojiamini/uoga), amewahi kuugua alipokuwa mdogo, kuna matatizo ya kiafya kiukoo kama kisukari n.k
Sasa kwa vile hana mpenzi kwa sasa na wewe inaonyesha unampenda, unamjali na kutaka kumsaidia basi sio mbaya kama mkarudiana (sio lazima ) ukamsaidia kwa kutumia bidhaa iitwayo "cock ring"..
Inapatikana kwenye maduka ya dawa sambamba na Condom lakini "pete ya uume" hiyo husaidia kuufanya uume kubaki mgumu kwa kutoruhusu damu iliyojaa uumeni kushuka chini nakusababisha "kiungo" kulegea au kupoteza u-firm wake.
Kifaa hiki huwekwa chini kabisa karibu na pumbu pale uume unaposimama na kukaza hali itakayomfanya mwanaume asimamishe kwa muda mrefu kuliko kawaida yake na haina maumivu yeyote kwako wewe wala yeye mwanaume kwani bidhaa hiyo imetengenezwa kwa mpira.
Vilevile ajitahidi kula vyakula vyene vitunguu saumu, apendelee kula vyakula vya baharini hasa pweza.
DIAMOND AMNUNULIA GARI MZEE GURUMO,VIDEO YAGHARIMU ML.48!!!
Diamond akiongea jambo kwenye uzinduzi huu.
UZINDUZI wa video mpya ya Nasib Abdul
‘Diamond’ iitwayo My Number One, imeonekana kufuru kutokana na
maandalizi yake na aina za kamera zilizotumika.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya
wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi rasmi wa video hiyo uliofanyika
katika Hoteli ya Serena, jijini Dar, walisema kuwa Diamond ameleta
mabadiliko katika tasnia hiyo ya muziki wa Bongo Fleva hasa katika
kipengele cha video bora.
Akitoa shoo mbele ya waarikwa wake
Shaa,Master Jay na Madame Litta wakifuatilia uzinduzi huo
Ay,Salama & Shetta hawakuwa nyuma kutazama zoezi hilo la uinduzi wa my number one ya Diamond
Mzee Gurumo akiwa ndani ya gari lake muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Diamond kama moja ya zawadi yake.
Diamond akimkabidhi ufunguo wa gari Mzee Gurumo.
Ray,JB wakishuhudia baadhi ya matukio ya uzinduzi huo
Baadh ya ndugu na jamaa wa Diamond wakifuatilia burudani za uzinduzi huo
Profesa Jay,Antu Mandoza,B2 na Nay wa Mitego katika pozi
UPDATE:CHEKI JINSI LULU NA JIDE WALIVYOJAZWA MAHELA KIBAO BAADA YA WIMBO WA YAHAYA KUPIGWA
UIMBAJI stadi wa Wimbo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki
kipya Lady Jay Dee umemjaza mahela Msanii wa Filamu aliyejizolea umaarufu kwa
miaka ya hivi karibuni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akiimba wimbo huo na
Jide wakati wa uzinduzi wa Video yake mpya na yakwanza kusimama peke yake ya
FOOLISH AGE.
Baada ya move hiyo kali ya dakika 120 iliyooesha ukali wa
staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha zingine 100 kusubiri wateja
kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani kujitambulisha na kutoa shukrani kwa
wamepenzi wa tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa muitikio wao alipanda na
kuimba wimbo huo wa Yahaya.
Akianzia kuimba kiitikio cha wimbo huo akiwa Back Stage,
Lulu aliwashangaza watu pale alipomudu vyema wimbo huo kiasi cha mashabiki ‘Mapedeshee’
wakiongozwa na Pedeshee Rich Rich, kupanda jukwaani na kumtunza fedha kibao
ambazo hakika zilimpagawisha msanii huyo na mwisho wa wimbo huo alisema mziki
unalipa.
“Jamanieee kumbe mziki unalipa ile mbaya yaani nimeimba ubeti mmoja tu hapa ona hela kibao,
kuanzia sasa na mimi nitaanza kuimba mziki”, alisikika Lulu akisenma huku
akishangiliwa na mashabiki wake.
Uzinduzi
wa fikamu hiyo ya kiswahili ambayo ina sub title ya Kiingereza na
ambayo haipaswi kuangaliwa na watoto chini ya miaka 16, huku ikiwa
imechezwa na wasanii maarufu na wakongwe kama Elizabeth Michael
mwenyewe, Diana Kimaro, Hashim Kambi, Ombeni Phiri na Mzee Jengua
ulifanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.CHANZO http://mrokim.blogspot.com
Wasanii mbalimbali walihudhuria show hiyo usiku huu pale Mlimani City
Lulu
akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa
mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
Wadau walifuatilia burudani...
Jide akikamua jukwaani...
Mama na mwanao ni kama chanda na Pete... huyo ni Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
.... Walitunzana tu kivyao vyao...
noti alizo tuzwa Jide...
Rich Rich akimwaga noti
Wadau wakifuatilia uzinduzi huo wa Filamu.
Furaha ilitawala
Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
Waongoza Shughuli hiyo watangazaji wa Redio na TV Double G na mwana dada kutoka Times FM walikuwepo.

TUNAOMBA RADHI KWA HII PICHA, JAMAA YAMEMKUTA HAYA BAADA YA KUIBA MKE WA MTU...!!
Tunaomba kama huwezi kuvumilia usingalie picha nyingine humu kwa sababu zinasikitisha sana, na sisi nia yetu ni kukuonyesha jinsi gani mke wa mtu anavyofanya maisha yako yanakuwa hatarini:
TAZAMA PICHA NYINGINE 50 ZA YULE MSANII KICHECHE(MANAIK SANGAI),BINGWA WA KUPIGA PICHA ZA UTAMU:
Pacha wa Lulu Diana Kimario " Mikogo" huyu
Huyu bint inasemekana ni mwanafunzi wa chuo ambae ni raia wa Kenya anaesoma nchini pia ilidaiwa ni mtoto wa Waziri mmoha nchini humo
Huyu nae amewahi kupangiwa chumba na Manaiki maeneo ya Sinza na wakaishi zaidi ya mwaka mmoja kama mume na mke!
Msichana ambae inasemekana aliwahi kunusurika kunywa sumu kwa ajili ya penzi la Manaiki mmh.
Ushahidi hadharani na sijui kama walikuwa wanaigiza kweli? na kama walikuwa wanaigiza ni filamu gani ya utupu?
Irine Kanka Miss Temeke mwaka juzi akiwa kwenye himaya ya Manaiki kama wanavyoonekana sijui walikuwa wanaigiza au laa!
Huyu mwingine hakufahamika jina lakini nae kesha pitiwa na Manaiki.
Msanii Skaina ambae inadaiwa amewahi kuishi kinyumba na Manaiki kabla ya kuolewa na kuachika tena!
Mrembo wa Facebook na Manaiki
Msanii chipukizi kwenye kiwanda cha filamu Bongo aliyefahamika kwa jina la Suzy akichezea mdudu.....
Mmh haya yetu macho sisi.
Manaiki na Dida wakifurahia maisha
Huyu nae hakufahamika jina lake mara moja lakini yuo kwenye mnyororo wa Manaiki.
Mrembo ambae sio staa aliyejulikana kwa jina la Zachia akiwa chumbani muda mfupi baada ya kuduu na Manaiki.
Msanii Skaina katikati ambae nae amingizwa kwenye orodha ya wachumba wa Manaiki Sanga.
Msanii Manaiki Sanga akiwa na mwanamuziki maarufu toka Zanzibar Dida wakila bata za ufukweni kama wanavyoonekana!
Subscribe to:
Posts (Atom)