Sunday, January 6, 2013

HUYU NDIO MPENZI WA LONG TIME WA D’BANJ AMBAE PICHA HIZI ZIMESAMBAA INTERNET ZIKIANZIA NIGERIA.

.
.
Kwa mujibu wa blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji imefahamika kwamba huyu ndio mpenzi wa muda mrefu wa mwimbaji star D’Banj, anaitwa Jennifer Obayuwana, pamoja na kwamba D’Banj hapo katikati alikua kwenye mapenzi na warembo kadhaa tofauti, Jennifer ni wa siku nyingi na mvumilivu na ameendelea kuwa na D’Banj kwa muda mrefu.
Kwenye interview ya Ndani TV D’Banj kasema pia kwa sasa yuko inlove, hayuko single kama wengi wanavyodhani.
Jennifer ni mtoto wa tajiri mmoja wa Nigeria aitwae John Obayuwana, kwa sasa Jennifer ni director kwenye kampuni ya baba yake na pia ni director kwenye CAT construction.

No comments: