Saturday, January 5, 2013

HII NDIO NYUMBA ANAYOKAA MWIMBAJI BARNABA KWA KIPINDI CHOTE ATAKACHOKUEPO U.K

Hii ndio nyumba Barnaba aliyopewa kuishi U.K ambapo pia imeandikwa jina lake na atakaa hapa mpaka atakapomaliza kufanya show zake mbili zilizoongezeka baada ya zile mbili za mwanzo kuwa nzuri, ishu nyingine ni kwamba Barnaba amekua msanii mwenye bahati baada ya BBC kumpa ofa ya kurekodi wimbo mmoja na video moja kwenye studio za kimataifa U.K
Nyumba anayoishi Barnaba kwa ndani.
.
.

No comments: