
Rais Kikwete ni miongoni mwa waliohudhuria maziko ya Sajuki leo january 4 2013 Kisutu Dar es salaam.

.

.

Hawa ni miongoni mwa waliokua wanasubiri kuupokea mwili, kwa mbali anaonekana Profesa Jay.

.

Mchekeshaji
Masanja Mkandamizaji na Mwimbaji Linex ni miogoni mwa wasanii
waliohudhuria, wengine ni pamoja na Mwana Fa, Profesa J, Mzee Kitime na
King Kikii.

.

Mwana Fa na Profesa J.

King Kikii Mwana Fa na Profesa J.

Msanii Z Anto akiswali juu ya kaburi la Marehemu Sajuki.

Hapa ndipo alipozikwa Marehemu Sajuki.

Zola D kwa mbali.

Hili gazeti walilokua wanasoma kulikua na habari kuhusu kifo cha Sajuki.

.

.

Mwili ulipokua unaingizwa.

.
No comments:
Post a Comment