Mbali
na magari ya kifahari pamoja na starehe wanazozifanya mastaa hawa wa
soka duniani, pia fedha zao nyingi wamewekeza katika majumba ya
kifahari, na wengi wao wamekuwa na nyumba zaidi ya moja katika miji
tofauti Barani Ulaya.
YES.. Navutiwa sana na nyumba nzuri yani, hizi nimezipata nikaona itakuwa poa nikishea na wewe mtu wangu..
Hapa kuna hizi nyumba 10 kali za mastaa 1o wa soka Ulaya:-

Nyumba ya Lionel Messi imejengwa kwa aina ya kipekee, kwa juu ina uwanja wa kuchezea, ni moja ya nyumba za kifahari zilizopo kwenye mji wa Barcelona.

Hii ni nyumba ya Mshambuliaji wa PSG ya Ufaransa, Zlatan Ibrahimovic, ipo katika mji wa Malmo, Sweden.
Umeiona yoyote ya mkali wako wa soka hapo?? Kama ipo unaweza kuniandikia pia ipi imekuvutia zaidi kati ya hizo..








No comments:
Post a Comment