Watumiaji wa dawa za asili wamependekeza matumizi yafuatayo ya mayai ya KWALE kulingana na magonjwa mbalimbali;
Kwa Watoto :
1. Matumizi ya mayai ya Kwale yamependekezwa kwa watoto yakiwa yamepikwa au mabichi kwa ukuaji mzuri wa mwili na akili. Mayai husaidia kuboresha ufanisi wa kufikiri (IQ)
Kuchochea ukuaji wa mwili, kusisimua na kuboresha shughuli za kimetaboliki mwilini - Mayai 100
2. Kuimarisha mishipa na mfumo mkuu wa mishipa - Mayai 120
3. Mayai ya KWALE yana athari chanya katika kuimarisha mwili kwa hiyo inapendekeza kwa ajili ya wazee na yanaweza kutuliza na / au kutibu magonjwa mengi kuhusishwa na uzee, upungufu au virutubisha zaidi mwilini, Mayai ya KWALE husaidia kuleta hali mpya ya afya na huleta mwili kwa usawa, yanapingana na kupambana na maradhi ya mwili - Mayai 240
4. Yanafufua kumbukumbu na kulinda seli za mwili - Mayai 120
Yanaongeza ufanisi katika tendo la ndoa na kuongeza uzalishaji bora wa homoni husika - Mayai 120
5. Yanaongeza ufanisi wa viungo vilivyo choka kutokana na kazi na msongo wa mawazo - Mayai 240
6. Yanaimarisha mwili - Mayai 240
Matibabu ya aleji:-
Pumu - Mayai 240
7. Mwasho wa Ngozi na fangasi - Mayai 120
8. Mchafuko wa mfumo wa chakula Mayai 240
9. Yanasaidia vidonda vya tumbo Mayai 240
10. Yanaboresha mmeng’enyo mbovu wa chakula Mayai 120
11. Yanadhibiti uzalishaji wingi wa asidi za tumboni Mayai 120
Mfumo wa Ini:-
12. Yanaboresha utendaji kazi wa kiungo ini Mayai 240
13. Matibabu ya magonjwa ya figo Mayai 240
14. Yanaboresha utendaji kazi wa kiungo figo Mayai 240
15. Matibabu ya magonjwa ya moyo Mayai 240
16. Yanaimarisha utendaji kazi wa moyo Mayai 240
17. Matibabu ya magonjwa ya mzunguko wa damu Mayai 240
18. Upungufu wa damu Mayai 240
19. Shinikizo la damu Mayai 240
20. Magonjwa ya mfumo wa kimetaboliki Mayai 240
21. Gauti Mayai 240
22. Uzito wa mwili uliokithili Mayai 240
23. Kisukari Mayai 240
24. Magonjwa ya mfumo wa mishipa Mayai 240
25. Hali ya wasiwasi Mayai 240
Faida ya mayai yak wale wakati wa ujauzito na wakati wa kunyonyesha
26. Matumizi ya mayai ya KWALE kwa kuutia nguvu mwili wa mwanamke wakati wa kipindi cha kabla na baada ya kujifungua hasa yanapendekezwa zaidi kama baada ya upasuaji au mionzi. Pia yana manufaa juu ya kiumbe hai kiichopo tumboni (kuboresha uwiano wa mwili na akili) na kwa mama baada ya kujifungua (kimwili kukarabati na kuimarisha utengenezwaji wa seli).
27. Mayai ya KWALE pia huboresha ubora wa maziwa ya mama. Mayai 240
28. Magonjwa ya Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI)
29. Matumizi ya mayai ya KWALE husaidia wagonjwa wenye upungufu wa kinga mwilini na kuongeza CD4 Mayai 240
Taarifa zote hapo juu zimetokana na vyanzo kutoka katika machapisho mbalimbali ya kisayansi ya lishe na sisi hatuta chukuwa jukumu la kuthibitisha ukweli au usahihi wa yoyote ya hapo juu.
Chanzo : quailfarm(dot)co(dot)uk
- KWA WAHITAJI PIGA SIMU KWA MZEE MGUMILA UKONGA MAZIZINI
- SIMU NAMBA 0754 564200
No comments:
Post a Comment