Thursday, April 9, 2015

Faida Za Kiafya Zipatikanazo Kwa Kutumia Mayai Ya Ndege Kware


Yai la Kware ni zawadi ambayo Muumba ametupatia kama chakula cha uponyaji. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandao na Majarida ya Afya hususani kutoka kwa matabibu wa Kichina zinaonyesha kuwa mayai ya Kware yametumika maelfu ya miaka kwa ajili ya kuponya na kuleta nafuu katika maradhi/magonjwa kama rhinitis, pumu, kikohozi, shinikizo la damu, kisukari, pamoja na matatizo ya ngozi (eczema na psoriasis). Katika miaka ya karibuni mayai hayo yameweza kutengenezwa katika mfumo wa vidonge na kuuzwa kwa mtandao (online).

Faida za mayai ya Kware dhidi ya Mayai ya Kuku
  • Vyanzo hivyo pia vimebainisha kuwa mayai ya Kware yana vitamini na madini kwa wingi. 
  • Pamoja na udogo wa yai hilo, thamani yake kwa ubora wa lishe ni mara 3-4 zaidi kuliko mayai ya kuku. 
  • Mayai ya Kware yana asilimia 13 ya protini ikilinganishwa na asilimia 11 katika mayai ya kuku. 
  • Mayai ya Kware pia yana asilimia 140 ya vitamini B1 ikilinganishwa na asilimia 50 katika mayai ya kuku. 
  • Aidha mayai ya yana madini ya Chuma na Potassiumu mara tano zaidi ya mayai ya kuku. Mayai ya Kware yanajulikana kwa kupambana na mzio (allergy) au diathesis kutokana na kuwa na protini aina ya ovomucoid.
  • Matumizi ya mara kwa mara ya mayai ya Kware husaidia kupambana dhidi ya magonjwa katika mfumo wa tumbo kama vidonda vya tumbo. 
  • Mayai ya Kware huimarisha mfumo wa kinga, 
  • kuimarisha kumbukumbu, 
  • kuongeza uwezo wa ubongo na utulivu wa mfumo wa neva. P
  • ia husaidia katika matatizo ya upungufu wa damu kwa kuongeza kiwango cha hemoglobin katika mwili
  • wakati huo huo kuondoa sumu na metali nzito.
  • Wachina hutumia mayai ya Kware kutibu kifua kikuu, pumu, na hata kisukari.
  • Chakula hicho husaidia katika matatizo ya figo, ini, na kuondoa au kusaidia kuzuia na kuondoa mawe ya nyongo.
Faida ya ziada:
  • Watoto wanaokula mayai ya Kware hawakabiliwi na magonjwa ya maambukizi.
  • Kwa wanaume mayai haya yanaongeza nguvu za kiume kwa kuwa yanazalishamadini ya fosforasi, protini, na vitamini ambayo inachochea uwezo wa kujaamiana.
  • Kwa wanawake mayai yanaboresha rangi ya ngozi na kuimarisha nywele.
  • Baadhi ya wazalishaji wa bidhaa za urembo wanatumia mayai ya Kware.
  • Watoto kula tombo mayai ni chini ya kutega wanakabiliwa na magonjwa ya kuambukiza.
Jinsi ya Kutumia mayai ya Kware
  • Mtumiaji yeyote anayetaka kuimarisha afya yake bila wasiwasi anaweza kula mayai ya Kware yakiwa mabichi (raw) baada ya kuyaosha katika maji ya moto ili kuua bakteria wenye hatari. Kwa njia hii kula mayai 3-5 kila asubuhi kujenga mwili, kuimarisha mfumo wa kinga na kuboresha mwili kimetaboliki. 
  • Pia mayai haya yaweza kuliwa kama yalivyo ( raw), au kupika baada ya kuchemsha, kukaanga na kuchanganya na vyakula vingine kama kwenye saladi .Kwa watoto, Mayai yanaliwa kwa kupikwa au bila kupikwa (raw) 
  • yanasaidia mwili na uwezo wa kiakili (IQ).
  •  
  • KWA WAHITAJI PIGA SIMU KWA MZEE MGUMILA UKONGA MAZIZINI
  • SIMU NAMBA 0754 564200

No comments: