Thursday, May 7, 2015

Mathew 5:4_14

4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika. 5 Heri wenye upole;Maana hao watairithi nchi. 6 Heri wenye njaa na kiu ya haki;Maana hao watashibishwa. 7 Heri wenye rehema;Maana hao watapata rehema. 8 Heri wenye moyo safi;Maana hao watamwona Mungu. 9 Heri wapatanishi;Maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;Maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.Chumvi na Nuru 13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. 14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya

No comments: