Thursday, May 7, 2015

ANGALIA MVUA ZINAVYOKWAMISHA SHUGHULI ZA WATU JIJINI DAR

 


Wananchi wakijaribu kuvuka barabara eneo la Sinza, Afrika sana leo asubuhi.
Mwanafunzi akionekana akipita katika barabara iliyojaa maji eneo la Afrika Sana.
Baadhi ya wananchi wakionekana kutafakari namna ya kupita eneo la Sinza Afrika Sana.
Kijana aliyeko upande wa kushoto ambaye hakufahamika jina lake haraka, akivusha wananchi kwa kiasi cha shilingi mia mbili (200) eneo la Afrika Sana.
Magari pamoja na Bajaji zikionekana kupita kwa tabu katika barabara iliyojaa maji.
Vijana wakiendelea kuvusha raia kwa kiasi cha shilingi mia mbili (200) eneo la Afrika Sana.MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, zimeleta mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo na kusababisha adha kwa wakazi wake huku barabara zikiwa zinapitika kwa tabu na zingine kutopitika kabisa

No comments: