Spika
wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, akifungua rasmi kongamano la mwaka la wadau
wa kuzuia na kupambana na Rushwa lililoandaliwa na Taasisi ya Kuzui na
Kupambana na Rushwa nchini (PCCB). Kongamano hilo limefanyika leo katika
Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza Dar e es salaam ambapo Spika alikuwa
mgeni rasmi. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.
Mgeni rasmi katika kongamano la wadau wa Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini , Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza Dar e es salaam.. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Wajumbe mbalimbali waliohudhuria kwenye kongamano hilo wakimsikiliza Spika wa Bunge Mh. Samwel Sitta.
Mgeni rasmi katika kongamano la wadau wa Kuzui na Kupambana na Rushwa nchini , Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta, ( katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Kongamano hilo limefanyika leo katika Ukumbi wa Blue pearl, Ubungo Plaza Dar e es salaam.. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Biashara Barabarani.
Kutokana na wajasiriamali wengi hapa nchini kukosa mbinu na maarifa ya kutafuta masoko ya nje ya bidhaa zao, wengi wao wamekuwa wakiuza bidhaa hizo kiholela kama inavyoonekana pichani wajasiriamali hawa katika mji mdogo wa Chalinze wakitafuta wanunuzi kwenye mabasi mwishoni mwa wiki.Picha na Fadhili Akida
Maandalizi ya Taifa Cup, Morogoro wapigwa tafu.
Mwakilishi wa Kampuni ya Bia Mkoa wa Morogoro Haidhuru Ngakoka (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Said Mwambungu (kushoto) fedha taslimu shilingi Milioni 1,500,000/= katika hafla iliyofanyika kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo, kama mchango wa kampuni hiyo kwa timu ya Moro stars, kwa ajili ya michuano ya Kombe la Taifa Cup 2010.
Timu hiyo inatarajia kuondoka leo (kesho) kwenda Mkoa wa Tanga kwa ajili ya kuanza mechi yake ya kwanza dhidi ya timu ya Mkoa huo. Ili kuweza kufanikisha maandalizi ya timu hiyo kiasi cha shilingi milioni nane kinahitika, wadau wa soka Mkoani hapa wameombwa kuchangia ili kuweza kufanikisha ushindi wa timu hiyo. Picha na Father Kidevu
MKUTANO WA INVESTIMENT CLIMATE SUMMIT WAANZA JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais
mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Wiliam Mkapa
katikati akisalimiana na ris Mstaafu wa Botswana Festus Mogaye huku
Ofisa Mtendaji mkuu wa ICF Issa Omary akisikiliza kabla ya uzinduzi
rasmi wa mkutano unaoja uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji katika
Afrika.
Katibu
Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki Juma Mwapachu kushoto akisalimiana
na Jaji Mkuu wa Tanzania Agustino Ramadhan wakati walipokuwa wakitoka
nje mara baada ya uzinduzi wa mkutano huo.
Balozi
wa Rwanda nchini Tanzania mama Fatma Ndagiza akitaniana na Katibu Mkuu
wa Jumuia ya Afrika Mashariki Juma Mwapachu mara baada ya ufunguzi wa
mkutano wa uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji katika nchi za Afrika
ulioanza leo kwenye hoteli ya Dubble Three Hilton jijini Dar es salaam.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa ICF Issa Omary akimuongoza Rais Mstaafu wa Botswana
Festus Mogaye kuingia kwenye chumba cha mkutano wakati wa uzinduzi wa
mkutano unaojadili uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji katika nchi za
Afrika
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa The Investiment Climate Facility For Africa (ICF) Bw.
Issa Omary akizungumza na waandishi wa habari na kufafanua mambo
mbalimbali yatakayozungumzwa katika mkutano wa uboreshaji wa mazingira
ya uwekezaji katika nchi za Kiafrika hasa kwa wafanya biashara wadogo
ambapo mkutano huo uliozinduliwa leo kwenye hoteli ya Dobble Three
Hilton na utachukua siku mbili kabla ya ule wa World Economic Forum
unaotarajiwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City hapa jijini Dar es
salaam na kubudhuriwa na viongozi mbalimbali wa nchi za kiafrika na
wataalam wa masuala ya uchumi.
Issa Omary amesema Kutatua matatizo ya uwekezajio katika Tanzania na nchi zingine za kiafrika na kuboresha wa huduma mbalimbali za kibiashara inawezekana tena kwa gharama ndogo sana kitu muhimu ni serikali husika kukaa na wadau mbalimbali na wafanyabiashara ili kupata msukumo wa pamoja katika kurekebisha kasoro mbalimbali zinazokabili huduma sekta mbalimbali za kibiashara
Ametolea mfano kuwa kwa nchi ya Rwanda ambayo kampuni zilikuwa zikisajiriwa kwa muda wa siku 30 lakini kwa sasa kampuni inasajiriwa kwa siku moja na gharama imeshuka kutoka dola 400 za kimarekani mpaka dola 45 jambo ambalo Rais Paul kagame mwenyewe alilisimamia na hatimaye wamefanikiwa.
Issa Omary amesema Kutatua matatizo ya uwekezajio katika Tanzania na nchi zingine za kiafrika na kuboresha wa huduma mbalimbali za kibiashara inawezekana tena kwa gharama ndogo sana kitu muhimu ni serikali husika kukaa na wadau mbalimbali na wafanyabiashara ili kupata msukumo wa pamoja katika kurekebisha kasoro mbalimbali zinazokabili huduma sekta mbalimbali za kibiashara
Ametolea mfano kuwa kwa nchi ya Rwanda ambayo kampuni zilikuwa zikisajiriwa kwa muda wa siku 30 lakini kwa sasa kampuni inasajiriwa kwa siku moja na gharama imeshuka kutoka dola 400 za kimarekani mpaka dola 45 jambo ambalo Rais Paul kagame mwenyewe alilisimamia na hatimaye wamefanikiwa.
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni chapisho la (UN-HABITAT)
Makamu
wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni akifungua wa mkutano wa siku moja jana
jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Karimjee wenye lengo la kujadili
mikakati mbalimbali ya uimarishaji na uendelezaji wa wa Jiji la Dar es
salaam jiji hilo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja unaozungumzia uimarishaji na uendelezaji wa wa Jiji la Dar es salaam wakimsikiliza jana jijini humo Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa siku moja unaozungumzia uimarishaji na uendelezaji wa wa Jiji la Dar es salaam wakimsikiliza jana jijini humo Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ali Sheni wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
President Kikwete opens 2nd TICAD Ministerial meeting in Arusha.
President Jakaya Mrisho Kikwete and Japanese Minister for Foreign
Affairs Katsuya Okada arrives at Arusha International Conference Centre
for the opening ceremony of the 2nd TICAD Ministerial meeting yesterday
morning(photos by Freddy Maro)
Minister
for Foreign Affairs and International Cooperation Bernard Membe(centre)
introduces to President Jakaya Kikwete Japan Minister for Foreign
Affairs Katsuya Okada shorly after the President arrived at Arusha
International Conference Centre(AICC) to open the second TICAD
Ministerial Follow up meeting yesterday morning.
Hamis Hamad Mnondwa kumvaa Kigoda
Kijana Hamis Hamad Mnondwa akizungumza na waandishi wa habari kuelezea juu ya nia yake ya kumvaa mbuge Abdallah Kigoda wa Handeni ili kuchukua jimbo na kuanza kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.
Amesema wananchi wa Handeni hawahitaji kutawaliwa ila wanahitaji kuongozwa kwa kushauriana katika kuleta maendeleo ya jimbo hilo ambao liko nyuma sana kiuchumi, kielimu na kiafya pia, ameongeza kuwa yuko tayari kwa kuwatumikia wananchi wa Handeni kinachotakiwa ni wao kumuidhinisha ili aweze kuwatumikia.
Amesema utaratibu uliotangaza na chama cha mapinduzi unasema fomu zitaanza kutolewa kwa wagombea tarehe 26 mwezi julai na kurudishwa tarehe 28 mwezi huohuo, Hamis Hamad Mnondwa aliongozana na baba yake mzazi katika mkutano huo anayejulikana kwa jina la Njama Issa Mnondwa aliyeko kulia.
Friday, April 16, 2010
WIZARA YA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO YAWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WAPYA
Baadhi ya washiriki wa mafunzo elekezi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda(hayupo pichani) wakati wa ufunguaji mafunzo elekezi leo mjini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Bw. Seith Kamuhanda akifungua mafunzo elekezi ya waajiriwa wapya wa Wizara hiyo leo mjini Dar es salaam. Mafunzo hayo ni sehemu ya utaratibu wa Serikali wa kuwaelimisha watumishi wake wapya kwa ajili ya kuongeza ufanisi mahali pa kazi.Picha na tiganya vincent-maelezo
No comments:
Post a Comment