Wednesday, December 4, 2013

TAZAMA HAPA NYIMBO 50 ZA BONGO FLAVA ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI MTANDAONI MWAKA 2013




Zimebaki siku 26 tu hadi tuumalize mwaka 2013. Kwa kutumia akaunti maarufu za mtandao wa hulkshare zinazomilikiwa na blog tano nchini Tanzania, Bongo5 imeandaa orodha ya nyimbo zilizosikilizwa zaidi kwenye mtandao mwaka 2013. Blog hizo ni pamoja na Bongo5, Gongamx, Dj Choka, Sam Misago na Hass Baby. Pamoja na Hulkshare ndio website ya kuhifadhia nyimbo mtandaoni maarufu zaidi kuliko yote kwa sasa.

Hii ni orodha kamili ya nyimbo 50 zilizosikilizwa zaidi mtandaoni mwaka 2013.

1.Nay wa mitego ft Diamond Platnumz – Muziki Gani
14 Mar 2013
Imesikilizwa mara 93,895
Imepakuliwa mara 34,949

2.Young Killer ft Stamina & Quick Rocka – Jana na Leo

25 Apr 2013
Imesikilizwa mara 79,100
Imepakuliwa mara 31,175

3.Ben Pol – Jikubali
2 May 2013
Imesikilizwa mara 76,424
Imepakuliwa mara 30,397

4.Lady JayDEE – Yahaya

12 Jun 2013
Imesikilizwa mara 75,764
Imepakuliwa mara 12,846


5.Ney wa Mitego ft. Neyba – Salam Zao
31 Jul 2013
Imesikilizwa mara 64,062
Imepakuliwa mara 18,313


6.Diamond Platnumz- Mapenzi Basi
12 Apr 2013
Imesikilizwa mara 52,255
Imepakuliwa mara 21,589


ENDELEA KUTIZAMA NYIMBO ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


7.Rama Dee Ft Lady Jaydee – Kama Huwezi
3 Jul 2013
Imesikilizwa mara 52,096
Imepakuliwa mara 8,190


8.Ommy Dimpoz ft J Martins – Tupogo
1 Aug 2013
Imesikilizwa mara 47,100
Imepakuliwa mara 9,059

9.Izzo B Ft Barnaba Na Shaa – Love Me

30 Apr 2013
Imesikilizwa mara 46,151
Imepakuliwa mara 15,630


10.Chege ft Malaika- Uswazi Take Away
4 Feb 2013
Imesikilizwa mara 45,307
Imepakuliwa 23,411

11.Shetta Ft Rich Mavoko – Sina Imani

29 Mar 2013
Imesikilizwa mara 43,299
Imepakuliwa mara 16,105


12.Rich Mavoko – Roho Yangu
18 Sep 2013
Imesikilizwa mara 42,778
Imepakuliwa mara 3,330


13.Jux – Uzuri Wako
13 Mar 2013
Imesikilizwa mara 39,224
Imepakuliwa mara 14,139


14.Blue – Pesa
4 Sep 2013
Imesikilizwa mara 38,094
Imepakuliwa mara 3,908


15.Roma – 2030
4 Jan 2013
Imesikilizwa mara 37,841
Imepakuliwa mara 19,161


16.Stamina ft. Fid Q – Wazo La Leo
11 Jan 2013
Imesikilizwa mara 36,783
Imepakuliwa mara 19,127


17. Diamond Platnumz – Number 1
Imesikilizwa mara 33,707
Imepakuliwa mara 3,827


18.Cassim Mganga – I Love you
4 Jul 2013
Imesikilizwa mara 33,267


19. Quick Rocka ft. Ngwair & Shaa – My Baby
21 Jun 2013
Imesikilizwa mara 32,517
Imepakuliwa mara 10,791

20.Nikki Mbishi – Ney Wa Mitego
8 May 2013
Imesikilizwa mara 31,734
Imepakuliwa mara 11,521

21.Vanessa Mdee – Closer

Jan 2013
Imesikilizwa mara 27,838
Imepakuliwa mara 15,264


22.MwanaFA & AY Ft J Martins – Bila Kukunja Goti
26 Jun 2013
Imesikilizwa mara 27,715
Imepakuliwa mara 8,699


23.Young Killer ft Bright & Nemo – Mrs Super Star
2 Aug 2013
Imesikilizwa mara 26,664
Imepakuliwa mara 4,117


24.Lady Jaydee ft. Prof. Jay – Joto Hasira
7 Mar 2013
Imesikilizwa mara 26,316
Imepakuliwa mara 10,964

25.Linex Ft. Sunday – Kimugina

2 Aug 2013
Imesikilizwa mara 25,829

26.Nikki wa Pili ft Joh Makini – Bei ya Mkaa
30 Jul 2013
Imesikilizwa mara 24,476
Imepakuliwa mara 5,477

27.Nikki Wa Pili – Nje ya Box
15 Feb 2013
Imesikilizwa mara 20,819
Imepakuliwa mara 8,844

28.Kala Jeremiah Ft Ben Pol – Karibu Dar
13 Mar 2013
Imesikilizwa mara 20,437
Imepakuliwa mara 6,254

29.Nikki Mbishi & Godzilla Feat. Cliff Mitindo – Kill yoself
4 Feb 2013
Imesikilizwa mara 20,128
Imepakuliwa mara 12,145

30. Snura – Nimevurugwa
29 Jul 2013
Imesikilizwa mara 20,078
Imepakuliwa mara 4,780

31. Stamina ft Darasa, Warda – Mwambie Mwenzio

25 Jul 2013
Imesikilizwa mara 17,723
Imepakuliwa mara 6,244

32.Linah- Tumetoka Mbali

20 Aug 2013
Imesikilizwa mara 17,747
Imepakuliwa mara 3,438

33.Suma Mnazaleti ft Tunda – Tuko wangapi
13 Mar 2013
Imesikilizwa mara 17,630
Imepakuliwa mara 7,381

34. Madee – Sio Mimi
Imesikilizwa mara 17,411
Imepakuliwa mara 8,043


35.Ben Pol ft Alice – Waubani

8 Sep 2013
Imesikilizwa mara 17,268
Imepakuliwa mara 3552

36.Recho – Umependeza
4 Sep 2013
Imesikilizwa mara 16,894
Imepakuliwa mara 4,211

37.Lucci & Julio ft Jokate – Waters Up
2 Feb 2013
Imesikilizwa mara 16,686
Imepakuliwa mara 34,271

38.Gosby – BMS ( Baby Making Swag)

28 Jun 2013
Imesikilizwa mara 16,492
Imepakuliwa mara 3,886

39.Gosby – Monifere

9 Oct 2013
Imesikilizwa mara 16350
Imepakuliwa mara 2,626

40.Nyandu ft Young Killer, Young D & Belle 9 – Kwa Mafans
3 Jul 2013
Imesikilizwa mara 16,202
Imepakuliwa mara 6,629

41.Hard Mad – Naishi Gheto

10 Nov 2013
Imesikilizwa mara 15,573

42.Izzo B ft Ngwair and Quick Rocka – Ball Player
23 Jan 2013
Imesikilizwa 15,258
Imepakuliwa mara 8659

43.Young Dee ft Mr. Blue – Hujali
29 Jan 2013
Imesikilizwa mara 15,285

44.Suma Mnazareti Ft Richard – Umechelewa
20 Sep 2013
Imesikilizwa mara 15,052
Imepakuliwa mara 2,068

45.Mahakama ya Mapenzi – Linex.mp3

28 Jan 2013
Imesikilizwa mara 15,048
Imepakuliwa mara 9,158

46.Sajna ft. Ben Pol & Sisa Madini – Ningekuwa Single
10 Jul 2013
Imesikilizwa mara 14,463
Imepakuliwa mara 2,208

47.Bob Junior ft Vanessa Mdee – Bashasha
Imesikilizwa mara 13,792
Imepakuliwa mara 2,131

48.Chid Benz-Nakaza Roho
14 Aug 2013
Imesikilizwa mara 13,673
Imepakuliwa mara 2,439

49.Diamond – Kama Nikifa Kesho

7 Oct 2013
Imesikilizwa mara 13,542
Imepakuliwa mara 4,009


50. Cindy Rulz ft. Dunga – Let’s Wait

31 Oct 2013
Imesikilizwa mara 12,529
imepakuliwa mara 936

Bonus

51. Fid Q ft Juma Nature – Siri ya Mchezo-
19 Oct 2013
Imesikilizwa mara 10,929
Imepakuliwa mara 724

52. T.I.D Ft Kassim na Mr Blue – Tamu Asali
20 Sep 2013
Imesikilizwa mara 10,906
Imepakuliwa mara 1,866


53. Mabeste ft Peter Msechu – NISHAURI

7 Aug 2013
Imesikilizwa mara 10,692
Imepakuliwa mara 3,272

SOMA JACK WALIPER ALIVYOFUNGUKA YA MOYONI NAKUANIKA A DALASS NA KUKIRI KUWA ALI KIBA NDIO ALIYEMFUNZA MAPENZI


MOYO; 
huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) 


Katika ‘intavyu’ hiyo iliyofanyika Jumatatu iliyopita kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar kuanzia saa 8:44 alasiri hadi saa 10:44 jioni, Wolper alifunguka vitu vingi.

KISA/MKASA
Akizungumza kwa masikitiko, uchungu na majuto, Wolper alisema hawezi kumsahau mwanaume huyo ambaye ni Abdallah Mtoro ‘Dallas’ kwa namna alivyomwingia kijanja na kutaka kumvunjia heshima aliyoijenga karibia miaka kumi nyuma.


ALIANZIA WAPI NA DALLAS?
“Siku ya kwanza Dallas alinipigia simu na kuniambia aliniona Magomeni (Dar). Naikumbuka sana siku hiyo, ilikuwa baada ya mizunguko yangu, mwanzoni sikupokea simu yake kwa sababu ilikuwa namba ngeni kwangu.
“Nilimsikiliza sana. Jamani yule mwanaume anaongea kwa ushawishi wa hali ya juu mno. Nilishangaa aliponieleza kila kitu kuhusu familia yangu na nyumbani kwetu. Kumbe tayari alishaunda urafiki na baba yangu (mzee Massawe).

“Mwanzoni nilidhani ni tapeli. Nikamkatia simu. Akaendelea kunipigia na nilipoona imekuwa kero kubwa nilipokea. Ili kuthibitisha anawajua wazazi wangu, alinitajia namba zao za simu ambazo ni za kweli.
“Pamoja na hilo nilimfanyia nyodo, si unajua mtoto wa kike? Lakini aliniongelesha kwa upole hadi nikapunguza nyodo zangu.

“Aliniuliza nataka anifungulie biashara gani. Nikamwambia biashara ya nguo. Akaniuliza nataka mtaji kiasi gani. nikamwambia dola laki moja kwa sababu nilikuwa sitaki fremu moja, nilitaka nyumba nzima. Akaniambia hakuna tatizo.
“Pia aliniuliza naishi wapi? Nikamwambia Sinza (Dar) alionesha dharau kwenye simu akaniambia atanihamishia Mbezi Beach.

“Aliniuliza natembelea gari gani? Nikamwambia Toyota Noah. Akaniambia ningependa aninunulie gari gani? Nikamjibu Toyota Discovery lakini yeye akasema ataninunulia Toyota Harrier.

“Kweli baada ya siku mbili-tatu nililetewa Toyota Harrier nyeusi nyumbani. Niliogopa isijekuwa mtego nikaingia kwenye matatizo hivyo nilimzungusha mtu aliyeniletea hadi Sinza-Mori nikamwambia apaki kwenye kituo cha teksi, nikaenda na dereva nikalichukua hadharani ili lolote likitokea nipate msaada.

“Nilikabidhiwa funguo za lile gari na documents zake, nikaondoka nalo hadi nyumbani kwangu. Kesho yake Dallas alimtuma mtu aniletee dola za Kimarekani 15,000 (zaidi ya Sh. milioni 24). Nilipouliza za nini aliniambia ni kwa ajili ya shopping ya kutembelea Harrier niachane na zile swaga za kwenye Noah (fedha inaongea). Kisha akanitumia cheni ya dhahabu.

“Siku iliyofuata alinitumia Sh. milioni 15 nipeleke nyumbani nikawaambie wazazi nimepata mchumba ambaye angeenda kujitambulisha baadaye. Niliwaambia ni Dallas ambaye walikiri kumfahamu kwa sababu alishawapigia simu na kujitambulisha kuwa ni mkwe wao.”

AMESHAKUTANA NA DALLAS?
“Hadi hapo nilikuwa sijamuona Dallas kwa sura na fedha nilikuwa natumiwa kila siku.
“Wakati hayo yakiendelea akaagiza nihamishiwe Mbezi Beach na kununuliwa lile gari lililoibua mzozo BMW X6.
“Nakumbuka siku niliyokabidhiwa lile gari nililia sana. Sikuamini macho yangu kwa sababu Dallas aliniambia amenitumia kazawadi kumbe ni BMW X6 (lina stori ndefu inakuja)!

“Kumbuka mwanzoni nilikuwa na boyfriend ambaye tulipendana sana lakini hatukupanga kufunga ndoa. Nilimweleza kila kitu akakubaliana na mimi japokuwa aliumia.
“Maskini! Kuanzia hapo nikawa nimeachana na yule boyfriend wangu lakini hakukuwa na namna kwa sababu niliamini nimepata mchumba wa kunioa.

ATAKIWA KUBADILI DINI
“Baadaye Dallas aliniambia nimeshakuwa mchumba wake hivyo nibadili dini. Kweli nilibadili nikawa Muislam na jina langu likawa Ilham. Hicho kilikuwa kipindi kigumu sana maishani mwangu kwa sababu nilionekana ni muasi katika dini yangu ambayo mama ni mzee wa usharika na mwimba kwaya, baba ni mtu wa kanisani sana.”

NINI KILIFUATA?
“Siku moja nilikuwa Tanga nashuti filamu, nilikuwa nikitoka hapo niende Morogoro. Dallas alinipigia simu akaniambia yupo Nairobi (Kenya) anakuja Tanzania. Nilimwambia nipo Tanga akaniambia atanifuata kule. “Niliendelea kupiga mzigo. Zilipita saa nyingi, baadaye nikiwa na kruu yangu, Dallas alinipigia simu akaniambia ameniona.
“Nilikataa, akaniambia namna nilivyo, nguo nilizovaa na watu niliokuwa nao, alipatia. Kumbe alikuja na Toyota Prado.

WOLPER MORO, DALLAS DAR
“Tulipomaliza kurekodi Tanga tulikwenda Morogoro, yeye aliniambia anaelekea Dar. Tulikuwa tunawasiliana. Nilipomaliza kurekodi Moro nilirejea Dar. Hapo ndipo vituko vikawa juu ya vituko.

“Niliambiwa mara kaonekana sehemu akiwa na mwanamke au wanawake. Mimi sikujali kwa sababu nilipomuuliza aliniambia hatuwezi kuonana kwa sababu kipindi hicho alikuwa katika swaumu hivyo akionana na mimi nitamharibia. (ulikuwa mwezi mtukufu).

BADO HAWAJAKUTANA?
“(Mguno) Hapo bado hatujakutana lakini yupo mjini na amejaa tele kwenye kumbi za starehe.
“Baada ya kumaliza swaumu, siku moja aliniambia anakuja nyumbani Mbezi Beach. Niliwaalika marafiki zangu tukapika vyakula, tukafanya usafi na kufukiza udi chumbani. Nilitandika mashuka meupe kitandani na kujipara kisha nikavaa ushungi kuanzia mchana nikakaa kama malkia nikimsubiri mchumba.

“Huwezi amini, hadi giza linaingia Dallas hakutia mguu. Nilipataje aibu kwa rafiki zangu waliotaka kumuona huyo mchumba? Ninyi acheni tu!
“Nilipomuuliza aliniambia alipata dharura kuna biashara alikuwa anafanya

HATIMAYE WAKUTANA LAKINI…
“Nilikasirika sana, nikasema huyu ni mchumba gani asiyetaka kuja kwangu? Nikampa muda wa siku tatu aje nyumbani na alete nguo zake zote. Kweli, siku ya tatu,  asubuhi nilimsikia mtu akiita ‘Ilham Wolper Dallas’. Nilishajua sauti yake kupitia simu hivyo nilimkaribisha na nguo zake nikaingiza ndani. Lakini cha kushangaza alikuja na pikipiki!

“Alishinda nyumbani siku hiyo maana kuna ndugu zake walikuja. Hatukufanya chochote. Dallas aliishia kunibusu shavuni kisha jioni akaondoka.
“Mjini kukawa hakukaliki. Natumiwa picha akiwa na wanawake tofautitofauti. Mmoja wa wanawake hao niliambiwa eti ana ‘ngoma’! Jamani hii dunia ina kichaa!

“Muda ukasonga, vitimbi vikawa vingi. Dallas simuoni. Muda wa kukaa kwenye ile nyumba uliisha hivyo nikahama na nikamwambia akachukue nguo zake.

UCHUMBA WAVUNJIKA, SASA ANAPUMZIKA HAPA
“Baadaye uchumba ukavunjika tena mimi ndiyo nilimwambia simtaki tena. Nilikaa muda hadi baadaye nilipopata mwanaume wangu wa sasa. Anani-control vizuri kwa sababu kanipita umri na ana busara. Tunapendana sana. Najuta kumfahamu Dallas. Siwezi kusahau tukio hilo katika maisha yangu. Dallas alicheza na hisia za moyo wangu. (akaangua kilio) Niliteseka sana. Ni Mungu tu anajua…

VIPI KURUDIA UKRISTO?
“Nimekaa muda siendi kanisani. Nilikuwa najifungia ndani nalia kama mama yangu alivyokuwa anafanya. Siku moja nilimwambia mwanaume wangu akaniambia kuliko kulia kila siku bora nirudi kanisani. Ndipo nikarudia ukristo. Kwa sasa nasali Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kijitonyama, Dar,” alisema.

MBALI NA DALLAS
Kwa mara ya kwanza Wolper alikubali kuorodhesha listi ya wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi kwa kuwachambua mmoja mmoja.

ALI KIBA
Bila kupepesa macho, Wolper alikiri kuwa msanii wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ndiye aliyemfundisha mapenzi: “Ni kitambo kidogo. Wote hatukuwa mastaa lakini yeye alifanikiwa kuchomoka. Kabla ya Ali (Kiba) nilikuwa na mwanaume lakini hatukuduu kwa maana ya utu uzima, ilikuwa yale ya kitoto. Lakini Ali ndiye hasa aliyeniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.

KWA NINI WALIACHANA?
“Ali akawa staa. Alipokwenda nje nikasikia wanawake wanamshobokea. Sasa mimi sikutaka karaha nikakaa pembeni lakini jamaa ni mtu poa sana na tukikutana tunasalimiana freshi kabisa.”

DIAMOND VIPI?
“Ni kweli niliwahi kuwa na Diamond (msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul). Tulikuwa na uhusiano lakini pia alikuwa mshirika wa kibiashara (hataki kuitaja). Yeye alikuwa hawezi kulala bila kuniona, lakini tulikaa kama mwezi mmoja, kwa sasa amebaki kuwa rafiki yangu na siyo mpenzi tena kama zamani,” alisema Wolper.

VIPI KUHUSU JUX?
“Jux (msanii wa Bongo Fleva, Juma Khalid) nilikuwa naye kabla ya Dallas na yule mwanaume wangu niliyeachana naye wakati wa Dallas. Katika maisha yangu nilimpenda sana Jux. Siyo marioo ni mwanaume mtafutaji aliyejiamini. Kwa sasa sipo naye. Dallas pia alichangia mimi kuachana na Jux,” alimalizia Wolper ambaye kwa sasa ana mwanaume asiyependa kumwanika.

HII NDIZO PICHA 11 ZINAZOONESHA HALI HALISI YA MITAA MBALIMBALI YA JIJI LA DAR BAADA YA MVUA KUNYESHA



ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI





 





Friday, November 29, 2013

BERKO KULIPWA MSHAHARA MKUBWA KULIKO KASEJA






Kipa wa zamani wa Yanga, Yaw Berko anatua nchini leo akitokea kwao Ghana akiwa kipa ghali zaidi kwa kuwa atalipwa mshahara mkubwa hata kuliko Juma Kaseja wa Yanga.

Berko anatua nchini saa nne asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na mara moja atakwenda kumalizia mazungumzo na Simba na tayari wamekubaliana mshahara wake utakuwa dola 1,500 (Sh 2,400,000), kwa mwezi.
Mabingwa Yanga wanamlipa Kaseja aliyekuwa ameachwa na Simba Sh milioni 2, sawa na mshambuliaji mwingine wa Yanga, Mrisho Ngassa ambaye pia aliichezea Simba msimu uliopita.
Lakini katika mazungumzo yake, kipa huyo ameutaka uongozi wa Simba kumhakikishia kwamba kipa Abel Dhaira raia wa Uganda anabeba virago vyake na kuondoka.
“Berko amesema yuko tayari kuja nchini na kuanza kazi lakini asingependa hata kidogo kuona Dhaira yupo. Ndiyo kilikuwa kitu cha kwanza ambacho hakihitaji kukiona na kweli tumefanya hivyo kwa kuwa hata Dhaira mwenyewe ameonyesha anataka kuondoka,” kilieleza chanzo kutoka ndani ya Simba.
Hata hivyo, Simba italazimika kumsajili kwa nusu msimu tu kwa kuwa TFF tayari imetangaza kuanzia msimu ujao, imepitisha sheria ya timu kutosajili makipa wa kigeni.
Berko aliondoka nchini Yanga ikiwa inamhitaji, lakini ililazimika kumtumia Ally Mustapha ‘Barthez’ aliyekuwa kipa wa pili baada ya kipa huyo kuonyesha usumbufu na maringo huku viongozi wakilalamika alikuwa si mtu anayejituma.

Saturday, October 5, 2013

MMEONA MUZIKI WA MSANII SHILOLE UNAVYOCHEZWA JUKWAANI ?, ADAIWA KUNYONYWA MATITI MBELE YA UMATI WA MASHABIKI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.


Shabiki huyu sijui alimruhusu amnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wach

eze wote. Mhhhhh hatari kweli kweli.
Kazi ipo !!!, Shilole akionyesha kulegea baada ya kunyonywa na shabiki wake huyu mwanaume.

jamaa akifaiti ziwa la Shilole


Angalau hapa pamekaa vyema kwa uchezaji japo kidogo !!!. Aina hii ndiyo inaanza hivi. Hii nayo ni aina nyingine pindi anapokuwa anacheza na shabiki, haki ya nani balaa tupu. Huyu ndo Shilole katikati ya mwili wa mwanaume ambaye anadaiwa kuwa ni shabiki wake, hii ni aina nyingine ya uchezaji wa muziki wa Shilole namna unavyochezwa.
Sijui huu ndiyo muziki gani unaochezwa hivi, sidhani kama mtu atasutwa kufanishwa na kitendo hiki kinachofanywa na watu wenye jinsia mbili tofauti katika faragha.



Saturday, September 21, 2013

MASOGANGE NA MDOGO WAKE WAACHIWA HURU

Tegemea picha zaidi za ‘asset’ ya Agnes Gerald aka Masogange kwenye Instagram sababu video vixen huyo ni mtu huru kabisa.

Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo, Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg, nchini Afrika Kusini imemwachia huru mrembo huyo baada ya kulipa faini ya R30,000 ambazo ni sawa na shilingi milioni 4.8 za Tanzania, kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza dawa za kulevya.

Naye Melissa Edward ameachiwa huru na mahakama hiyo, baada ya kukosekana ushahidi wowote wa kumtia hatiani.

Habari hiyo kwenye gazeti la Mwananchi inaeleza kwa urefu:

Msemaji wa Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa ya Jinai cha Afrika Kusini(Hawk), Kapteni Paul Ramaloko alisema Watanzania hao wameachiwa huru baada ya kuonekana kuwa hawakubeba dawa za kulevya, bali kemikali aina ya ephedrine.
Mahakama hiyo ilibaini kuwa, Melissa hana hatia kwa kuwa ilionekana kuwa amemsindikiza Masogange, ambaye alimwomba amsaidie kubeba mzigo huo.

“Mahakama iliona kuwa Melissa aliombwa tu kumsaidia kubeba baadhi ya mabegi, lakini hayakuwa yake. Mizigo yote iliandikwa jina la Agness Gerald na si Melissa,” gazeti la Mwananchi limemnukuu Kapteni Ramaloko.

Alisema, Melissa alijitetea kuwa hakuwa amesafiri pamoja na Masogange bali walikutana ndani ya ndege na Masogange alimwomba amsaidie kubeba mizigo hiyo, kwani ilikuwa mikubwa.

Kwa sheria za Afrika Kusini kubeba kemikali zozote ambazo zimepigwa marufuku ni kosa la jinai kisheria, hivyo mahakama iliamuru Masogange ahukumiwe kwenda jela kwa miezi 30 (miaka miwili na miezi mitano) au alipe faini ya R30, 000 (sawa na Sh4.8 milioni).

Hata hivyo, Kapteni Ramaloko alisema mdhamini wa Masogange alilipa nusu ya fedha na kwamba zinazobaki amalizie baadaye.

Alisema kutokana na kutomalizia kulipa fedha hizo ataendelea kubaki nchini humo hadi atakapomaliza kulipa nusu ya faini iliyobaki.

Masogange na mwenzake walipokamatwa na SARS ilielezwa walikuwa wamebeba dawa za kulevya aina ya

Methamphetamine, lakini Mahakama juzi ilithibitisha walikamatwa na kemikali aina ya Ephedrine, ambayo siyo dawa za kulevya.

Wakati Kamishna Mkuu wa Kitengo cha Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, Geofrey Nzowa alipoulizwa na Mwananchi Jumamosi juzi alisema mzigo walioubeba Masogange na mwenzake haukuwa ni dawa za kulevya bali ni kemikali za dawa za kulevya, lakini Msemaji wa Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini, (SARS), Marika Muller alieleza kuwa timu ya SARS ina uhakika kuwa mabegi sita yaliyokamatwa Julai 5 ni dawa za kulevya aina ya Methamphetamine.

Jana, Muller alipoambiwa kuwa Watanzania hao wameachiwa huru baada ya kulipa faini na mmoja kuachiwa huru kwa kuwa Mahakama imeridhika kuwa hazikuwa methamphetamine bali kemikali aina ya Ephedrine, alirudia tena na kueleza kuwa, mamlaka hiyo ina uhakika na kazi yake na iwapo mahakama imewaachia huru basi yeye hana la kusema zaidi.

“Kazi yetu kubwa ni kukamata mizigo haramu inayopitishwa uwanja wa ndege, kama Mahakama imeona kuwa si dawa za kulevya, hatuna la kuongeza. Kikubwa tumemaliza kazi yetu,” alisema Muller kwa kujiamini.

Hata hivyo, Nzowa jana akizungumzia kuachiwa huru kwa Watanzania hao, alionyesha kushangazwa jinsi Mahakama ilivyotoa adhabu ndogo.

“Hii ni ajabu sana. Kama watu wamebeba mzigo wenye thamani ya Sh6.8 bilioni wanapigwa faini ya milioni nne, hawataogopa kufanya hiyo biashara. Hao watu ni hatari sana,” alisema Nzowa.

Alipoulizwa iwapo wakirudi Tanzania wanaweza kushtakiwa, Nzowa alisema kitengo chake hakitaweza kuwashtaki tena kwa sababu wanaweza kujitetea kuwa tayari walishahukumiwa, isipokuwa Mwendesha Mashtaka aliyekuwa akisimamia kesi yao anaweza kukata rufaa.

“Iwapo Mwendesha Mashtaka wa huko akikata rufaa kwa kuona adhabu aliyopewa mhalifu huyo ni ndogo, anaweza kufanya hivyo,” alisema Nzowa.

Nzowa alisema, inasikitisha kuwa wakati mapambano ya biashara hiyo yakiwa yanaendelea Tanzania, watuhumiwa hao wanaachiwa.

“Adhabu waliyopewa ni ndogo hasa wakati huu ambao Tanzania tunachafuka kwa tuhuma hizi. Lazima kitu kifanyike kubadili hali halisi hapa nchini,” alisema.

Nzowa alieleza kuwa alikwenda Afrika Kusini tangu Septemba Mosi kuwahoji wasichana hao ambao hata hivyo hawakuweza kusema lolote la kuisaidia polisi.

Masogange aliandika kwa maandishi kuwa ni kweli mzigo ulikuwa wa kwake, lakini akasema mdogo wake, ambaye ni Melissa, hajui lolote na alikuwa amemsaidia.

Julai 5, mwaka huu Masogange na Melissa walikamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo wakidaiwa wamebeba kilo 150 zilizodaiwa kuwa ni dawa za kulevya aina ya Methamphetamine zenye thamani ya Sh6.8 bilioni.

Dawa hizo zilizokuwa zimepakiwa katika mabegi makubwa sita, zinatajwa kuwa ni kiwango kikubwa kukamatwa katika historia ya SARS ndani ya uwanja huo unaotumiwa na mataifa makubwa duniani.

Taarifa za kukamatwa kwa wasichana hao zilipamba kurasa mbalimbali za magazeti ndani na nje ya Tanzania, jambo lililosababisha Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kuchukua hatua za kuusafisha Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere.

Baada ya uchunguzi wa Dk Mwakyembe ambao ulibaini kuwapo mchezo mzima uliochezwa wakati Masogange na Melissa walipokuwa uwanja wa ndege.

Agosti 17 alitoa agizo la kufukuzwa kazi, Koplo Juliana Thadei, Jackson Manyoni, Yusuph Daniel Issa, Koplo Ernest na Mohamed Kalugwan.

Mwakyembe alisema katika hali isiyokuwa ya kawaida mfanyabiashara ambaye hakuwa na tiketi ya kusafiri siku hiyo, baadaye alibadili mawazo hapohapo na kuamua kuondoka siku hiyo kwenda Afrika Kusini na kulipia faini ya dola 60 (Sh96, 000) ili kupata tiketi.

Pia Mwakyembe aliliagiza Jeshi la Polisi kushirikiana na Polisi wa Kimataifa (Interpol) kumkamata mfanyabiashara anayedaiwa kumsaidia Masogange kusafirisha dawa za kulevya ambaye alitoweka na mabegi matatu ya dawa hizo huko Afrika Kusini.

Source: Mwananchi

Daktari FEKI akamatwa katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar


 



DAKTARI anayedaiwa kuwa bandia amekamatwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa na vitambulisho bandia vya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) akisomea Shahada ya Pili.
‘Daktari’ huyo ambaye amekuwa akitafutwa na uongozi wa chuo kwa zaidi ya mwaka alikamatwa jana asubuhi akiwa hospitalini hapo karibu na jengo kilimo kitengo cha meno.
Katika kitambulisho chake cha kupigia kura anatambulishwa kwa jina la Dismas John Macha aliyezaliwa mwaka 1979 Kilimanjaro na anaishi maeneo ya Upanga Magharibi, Dar es Salaam.
Gazeti hili, lilimshuhudia mtuhumiwa huyo akiwa katika kituo cha usalama cha Muhas na kupekuliwa na askari Polisi wa Muhimbili, Anthony Mwamatepela na kukutwa akiwa na vifaa vya udaktari .
Baadhi ya vifaa alivyokutwa navyo ni pamoja na koti jeupe la udaktari na stetoskopu ambacho ni kifaa cha kusikilizia mapafu yanavyofanya kazi na mapigo ya moyo.
Pia alikuwa na begi jeusi lenye aina mbalimbali za dawa, vitambulisho na karatasi nyingi, lakini alipoulizwa alidai kuwa hizo ni dawa zake.
Macha alikutwa pia na vitambulisho vitatu tofauti, kimoja kikimtambulisha kuwa mwanafunzi wa Muhas wa Shahada ya Pili ya Udaktari (Masters of Medicine ) yenye jina la Macha Dismas kikionesha kusajiliwa kwa namba 60520/2011 na kumaliza muda wake Septemba 30 mwakani. Kitambulisho kingine kilimtambulisha kwa jina la Macha Rogers anayesoma Shahada hiyo hiyo ikionesha kuwa anamaliza masomo yake mwakani.
Alikutwa pia na kitambulisho kinachomwonesha kuwa mwanafunzi wa Shahada ya Kwanza na kadi ya anuani yenye jina la Amos Nnko ambaye ni Ofisa Rasilimaliwatu wa Chuo hicho.
Akizungumzia alivyomkamata askari wa chuo hicho, Fulgence Semfukwe alisema walimkamata baada ya kupata taarifa za yeye kuwa maeneo hayo na kupanga mbinu za kumkamata.
Alisema saa 4.45 asubuhi jana alimkuta kwenye jengo la meno na kumwomba kwa nafasi yake ya udaktari amsaidie tatizo lake na hivyo waongee pembeni, naye bila wasiwasi akakubali. Alimwuliza anatibu magonjwa gani naye kumjibu anatibu maradhi ya aina nyingi na kumwomba kitambulisho na yeye kumpa cha kwake.
Baada ya hapo alishituka na kudai kuwa ni daktari wa Mwananyamala na amekuja hapo kwa ajili ya kuona wagonjwa wake wa dharura ndipo alipokamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi.
Alisema amekuwa akiwachenga kwa muda mrefu kutokana na kuwa kila walipopewa taarifa yuko wodi au sehemu Fulani hawakumkuta kwani walipishana naye baada ya kuvua koti na kuweka kwenye begi lake jeusi.
Akizungumza na gazeti hili, Macha limweleza mwandishi wa habari hizi kuwa yeye ni mwanafunzi ambaye anaelewa masuala yote ya matibabu, lakini alifeli chuoni hapo mwaka jana.
Alidai kuwa dawa alizokutwa nazo ni zake kwani ana matatizo katika njia ya mkojo na kifua huku akiamua kufanya hivyo kutokana na ugumu wa maisha.
“Uwezo wa kutibu ninao na nimesoma katika chuo hiki, lakini mwaka jana nilifeli ndiyo maana nikaamua kuwa hivi,” alisema.
Ofisa Uhusiano wa Muhas, Hellen Mtui alisema kutokana na kukamatwa na nyaraka akijitambulisha kuwa mwanafunzi wa ‘Masters of Medicine’, ambaye anaweza kutibu watu hawana uhakika na idadi ya watu ambao ameshatapeli hospitalini hapo.
Kuhusu kusoma Muhimbili, Mtui alikana akisema baada ya kupekua nyaraka za chuo hawakubaini jina la mwanafunzi wa aina hiyo na katika vyeti vyake bandia vinaonesha kusainiwa na Mkuu wa Chuo aliyekuwapo kabla chuo hakijapanda hadhi na kuwa chuo kikuu.
Mtui alisema baada ya kumkamata na kumpiga picha akiwa na mavazi ya udaktari, kumpekua na kumhoji walimpeleka katika kituo cha Polisi cha Selander Bridge kwa mahojiano na uchunguzi zaidi.

PICHA ZA MTUHUMIWA ALIYEJINYEA MAHAKAMANI WAKATI AKISOMEWA HUKUMU JIJINI DAR.


KIOJA cha mwaka kilitokea Jumatano wiki hii katika Mahakama ya Jiji ya Sokoine Drive jijini Dar es Salaam, baada ya mkazi mmoja wa Buguruni, Hassan Omary kujisaidia haja kubwa kizimbani wakati akisomewa shtaka lake la uzururaji.
Mwendesha mashitaka wa mahakama hiyo, Richard Magodi alikuwa akimsomea shtaka hilo, mbele ya Hakimu Mfawidhi, William Mutaki na alipotakiwa kukiri au kukanusha kosa lake, mtuhumiwa huyo alibaki kimya akiwa amemtumbulia macho hakimu.

Katika hali isiyotarajiwa, mtuhumiwa huyo alionekana akijikamua kama anayejisaidia na ghafla, harufu kali ya kinyesi ikatanda mahakamani hapo.Hakimu alitahayari kufuatia tukio hilo, kwani aliziba pua yake kwa kutumia koti lake na kuuliza chanzo cha mtuhumiwa kufanya kitendo hicho kortini, lakini katika hali iliyoashiria kama ni kiburi, kijana huyo hakujibu chochote zaidi ya kutazama chini, licha ya swali hilo kurudiwa zaidi ya mara tatu.Kutokana na kosa hilo ambalo liliharibu na kusimamisha karibu shughuli zote za mahakama kwa muda, Hakimu Mutaki alimhukumu kijana huyo kwenda jela kwa muda wa miezi sita ili kuwa fundisho kwa wengine wenye tabia hiyo.


Kana kwamba haitoshi, askari waliokuwepo mahakamani hapo walilazimika kumchapa bakora kijana huyo ili kumlazimisha kupiga deki baada ya eneo hilo kuchafuka vibaya kwa kinyesi kilichochanganyika na mkojo.

MCT KWA KUSHIRIKIANA NA NACTE IMEKIFUNGIA CHUO CHA CITY MEDIA COLLEGE


Baraza la Habari Tanzania MCT kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), imekifungia Chuo cha City Media College baada ya kushindwa kukidhi vigezo vinavyohitajika katika Mitaala ya taifa yenye ithibati ya NACTE huku Vyuo vingine vitano vikipewa muda hadi Desemba, mwaka huu kuhakikisha vinafikia vigezo hivyo.
Vyuo vitano vilivyopewa muda huo ni Dar es salaam School of Journalism, Time school of Journalism, Royal College of Tanzania vilivyoko Jijini Dar es salaam, Institute of Social and Media Studies kilichopo Arusha na kile cha Zanzibar Journalism and Mass Media College kilichopo Visiwani humo.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, KAJUBI MUKAJANGA amebainisha hayo wakati akitolea ufafanuzi kuhusiana na ukaguzi wa Vyuo vya Uandishi wa Habari nchini vilivyoruhusiwa kutumia mitaala hiyo, uliofanywa na Mabaraza hayo nchini.
Vigezo vinavyohitajika katika matumizi ya mitaala ya Taifa yenye ithibati ya NECTA kwa vyuo vya Uandishi wa Habari nchini ni pamoja na Vifaa vya mafunzo ya vitendo, taaluma, miundombinu na Uongozi wa chuo husika.

Saturday, September 14, 2013

JEURI YA PESA YA JAGUAR ANUNUA RANGE ROVER MBILI MPYA KWA PAMOJA



He’s young; he’s flashy and has no regrets about it. But above all, he attributes pure hardwork to his accomplishment. He’s arguably the wealthiest artist in Kenya with his monthly income from performances alone believed to bring him 7 figure amounts.
He’s Charles Njagua better known as Jaguar. He recently unveiled his newest cars and over the weekend took them for “a walk” to Magadi with his producer, Phil Makanda (of MainSwitch), his wingman, Lugz and Vivianne (an upcoming musician) for a video shoot.





WATEMBEZWA MTAANI WAKIWA UTUPU KAMA WALIVYOZALIWA BAADA YA KUFAMANIWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA


Nitukio la kusikitisha sana..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja  amri  ya sita  na mwanamke mwenye familia na watoto....
Wananchi  wenye  hasira kali  walipa  kichapo  kikali  ili  liwe fundisho  kwa  wengine hapo  mtaani.....

Hapa wanapelekwa polisi

SHANGA ZA KIUNONI-FAHAMU UMUHIMU WAKE NA JINSI YA KUZITUMIA WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU


Shanga zimeanza kuvaliwa tokea zamani na kipindi hicho nahisi zilikuwa zinavaliwa kwa sababu ya urembo zaidi,au zilikuwa zinavaliwa kama sehemu ya mavazi ya mwanamke wa kiafrika lakini sidhani kama zilikuwa zinavaliwa kwa ajili ya mambo ya kupeana Raha na Utamu.Ili kuepusha Post isiwe Ndefu sana ukachoka kuisoma,nikaona itakuwa jambo la busara nikimix Umuhimu na Jinsi ya kuzitumia kuliko kuelezea mara mbili,kwa hiyo zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa kupeana Raha na Utamu;

1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO

 
Kuna baadhi ya wanawake wa siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,sio tu kwa wanaume hata kwa wanawake pia.Kama unavyoona picha ya hapo juu huyo dada kiuno chake kilivyopendeza,hata chako kitapendeza pia.Kama Unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.

2.WENGINE WANAZIVAA KWA AJILI YA KUWAONGEZEA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
 
Kwenye Ngoma za Asili au kwenye Sherehe utakuta baadhi ya wanawake wamevaa kitu kinaitwa kibwebwe,wanavaa kibwebwe kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na kwa upande wa shanga,kuna Baadhi ya wanawake wanavaa kwa madhumuni hayo pia.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.

3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MWANAUME YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
 
Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya Basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.Hata sielewi kwanini,kwa sababu ukimuona mwanamke amezivaa mkononi wala hutoweza kupata hisia za ajabu,lakini ukiziona zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli.
Kwa hiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana Raha na Utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa alone kwa ajili ya kumsuprise mpenzi/mume wako.Utajua kuwa anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa anazishanga na kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana Raha na Utamu.

4.UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU KUTEGEMEANA NA RANGI ZAKE
 
Kuna Baadhi ya Wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia(kama Mume,Mpenzi,Kimada nk ).Mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama Mwanaume husika atakuwa anaelewa Maana ya hizo Rangi za Shanga,Zifuatazo ni Rangi za Shanga na maana yake;

Nyekundu
 Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake(hedhi).Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine yako ukaishia kujichafua. 

Nyeupe
Kama ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi Nyeupe,basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana Tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe Raha na Utamu,kwa hiyo upo free kufanya chochote na Mwili wake.

Nyeusi
Kama Ukikuta Mwanamke amevaa Shanga za Rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo teyari kukupa Raha na Utamu lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri,kwa hiyo unaweza kumnyoa kama kweli upo kimapenzi tena sana au ukaiacha siku hiyo ipite ili akanyoe baadaye au kama hamu zimekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.


5.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU
 
Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa lazima mwanamke apate Raha na Utamu. Ukiwa unapeana Raha na Utamu na mwanamke aliyevaa Shanga,wakati wa kupashana joto,usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.
Kama mtindo mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya na atapata Raha na Utamu wa kipekee sana.(jaribu kisha pata raha na  makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho).

N.B-Kama umezivaa ukaenda kazini,au kwenye biashara zako au ukatoka tu akikisha unavaa nguo ambazo zitaficha shanga zako hata kama ukiinama mbele za watu,inaboa kuona shanga barabarani,kwenye daladala ,maofisini n.k
Shanga ni Urembo maalumu kwa kuonekana chumbani ukiwa na mpenzi/mume wako,zinatakiwa zionekane na macho yake tu,zaidi ya hapo itakuwa sio ustaar
 
KURASA255 Copyright © 2013 Designed by Eddie Sucre Powered By Teknohama Tanzania
Twitter