Thursday, May 7, 2015

ANGALIA MVUA ZINAVYOKWAMISHA SHUGHULI ZA WATU JIJINI DAR

 


Wananchi wakijaribu kuvuka barabara eneo la Sinza, Afrika sana leo asubuhi.
Mwanafunzi akionekana akipita katika barabara iliyojaa maji eneo la Afrika Sana.
Baadhi ya wananchi wakionekana kutafakari namna ya kupita eneo la Sinza Afrika Sana.
Kijana aliyeko upande wa kushoto ambaye hakufahamika jina lake haraka, akivusha wananchi kwa kiasi cha shilingi mia mbili (200) eneo la Afrika Sana.
Magari pamoja na Bajaji zikionekana kupita kwa tabu katika barabara iliyojaa maji.
Vijana wakiendelea kuvusha raia kwa kiasi cha shilingi mia mbili (200) eneo la Afrika Sana.MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, zimeleta mafuriko katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo na kusababisha adha kwa wakazi wake huku barabara zikiwa zinapitika kwa tabu na zingine kutopitika kabisa

MATUKIO NA VIJANA: ANGALIA MVUA ZINAVYOKWAMISHA SHUGHULI ZA WATU JIJ...

MATUKIO NA VIJANA: ANGALIA MVUA ZINAVYOKWAMISHA SHUGHULI ZA WATU JIJ...: Wananchi wakijaribu kuvuka barabara eneo la Sinza, Afrika sana leo asubuhi. Mwanafunzi akionekana akipita katika barabara iliyojaa ma...

Mathew 5:4_14

4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika. 5 Heri wenye upole;Maana hao watairithi nchi. 6 Heri wenye njaa na kiu ya haki;Maana hao watashibishwa. 7 Heri wenye rehema;Maana hao watapata rehema. 8 Heri wenye moyo safi;Maana hao watamwona Mungu. 9 Heri wapatanishi;Maana hao wataitwa wana wa Mungu. 10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;Maana ufalme wa mbinguni ni wao. 11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. 12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.Chumvi na Nuru 13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu. 14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya

MASTAA WA MAREKANI WAZUA GUMZO KWA MAVAZI YAO KWENYE SHEREHE,ANGALIA PICHA HAPA MTU WANGU


chek
uniiii
Jana mastaa mbalimbali Marekani walijumuika pamoja katika usiku wa 2015 MET Gala huku baadhi ya mastaa hao wakigeuka gumzo kutokana na muonekano wa mavazi yao ambao uliwavutia wengi.

Sherehe hizo za mavazi ambazo hufanyika kila mwaka, jana zilifanyika jijini Newyork na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali.
Beyonce, Kim Kardashian na Rihanna huenda ndio waliotia fora kwa mavazi yao.
bey
chek
Beyonce Knowles akiwa na mumewe Jay Z
bey5
Kim Kardashian akiwa na mumewe Kanye West
KIII
bey3
Kerry Washington

bey4
bey7
Rihanna
ririr
bey8
Jennifer Lopez
bey9
solange
Solange Knowles
legend
John Legend na mkewe Chrissy Taigen
keys
Alicia Keys
gomez
Selena Gomez

Wednesday, May 6, 2015

Tuesday, May 5, 2015

MAAJABU:ONA DADA HUYU AMEVUNJA REKODI YA KUWA NA NDEVU NA NYWELE NYINGI KULIKO WANAUME


Hairiest girl flaunteing her hairy bosoms in new photos below she is so cute See some more photos below What do you think of this? can you marry this cute girl???