Unaambiwa
zaidi ya abiria 40 wamenusurika kifo hapa, hili basi lilikua linatoka
Mbeya kwenda Dar es salaam na limegongana na lori uso kwa uso sehemu
inaitwa PIPE LINE INYALA, mwenye makosa anatajwa kuwa dereva wa lori
alielipita gari jingine kwenye kilima na kukutana na basi uso kwa uso.
No comments:
Post a Comment