Wednesday, December 26, 2012
HUYU NDIO MTANZANIA ALIETANGAZWA MISS EAST AFRICA 2012 DEC 21.
Huyu
ndio mtanzania Joseline Dyna Maro (22) Miss East Africa 2012, hajaishi
Tanzania kwa muda mrefu, kabila lake ni Mchaga na kwenye maisha yake
ameishi Kenya, South Afrika, England na Ivory Coast, yeye na wazazi wake
wamefanya exclusive interview na mimi ambayo itasikika jumatatu kwenye
AMPLIFAYA CLOUDS FM.
Hawa ndio washindi wa nafasi ya pili na ya tatu, Miss East Africa Uganda na Miss East Africa Burundi.
HII NDIO AJALI MBAYA YA BASI NA LORI USO KWA USO LEO MBEYA.
Unaambiwa
zaidi ya abiria 40 wamenusurika kifo hapa, hili basi lilikua linatoka
Mbeya kwenda Dar es salaam na limegongana na lori uso kwa uso sehemu
inaitwa PIPE LINE INYALA, mwenye makosa anatajwa kuwa dereva wa lori
alielipita gari jingine kwenye kilima na kukutana na basi uso kwa uso.
Subscribe to:
Posts (Atom)