Saturday, September 14, 2013

PICHA ZAIDI ZA MUHINDI NA MBONGO WALIONASWA CHOONI WAKILANA "TIGO"



Milah 'Kanjibai' (kulia) na John Carlos ‘Shabani’ baada ya kunaswa wakiwa wamejifungia chooni.

                     ...Choo walichokuwa wamejifungia.

                        ...Watuhumiwa wakitolewa chooni.

                                ...Baada ya kutolewa chooni.

                         ...Ndani ya choo walimokutwa.

                             ...Wakiwa chini ya ulinzi.

                        ...Watuhumiwa wakipelekwa kituoni.

                    ...Mafuta aliyokutwa nayo Kanjibai.

         ...Wakishushwa kutoka kwenye Bajaji kuelekea kituoni.

HII NDIYO TASWIRA YA MATUKIO YA PADRI MAGAMBA BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI HATUA KWA HATUA VISIWANI ZANZIBARI.


Padre Anselmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Chej

u Zanzibar.
BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI MNAZI MMOJA.


AKIWA AMELAZWA BAADA YA KUMWAGIWA TINDIKALI HIYO.

KAMA WEWE NI MUOGA NAKUOMBA USIANGALIE AJALI HII...!! INATISHA...!!




Monday, September 2, 2013

OPERESHENI YA KUWAVUA WAVAA "VICHUPI" MTAANI IMEANZA.., HUYU DADA AWA WA KWANZA..!!

 
VIJANA wamechoka kuwaona wanawake wanaovaa kihasarahasara ‘vichupi’ mitaani ambapo wameanzisha oparesheni maalum ya kuwavua kabisa ili watembee utupu ijulikane moja.
Habari hii inathibitishwa na tukio la mrembo ‘miss’ (jina lake halikupatikana) ambaye amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukumbana na kasheshe zito kutoka kwa wanaume kufuatia kinguo kifupi alichokuwa amevaa, kilichoacha nje sehemu kubwa ya mapaja.

JIJINI ARUSHA
Tukio hilo lililovuta umati mkubwa ambalo lilishuhudiwa na shushushu wetu, lilijiri maeneo ya stendi ya mabasi madogo jijini Arusha, wiki iliyopita wakati mrembo huyo akiwa na marafiki zake watatu wakirandaranda kufanya ‘window shopping’.
Mara baada ya kufika eneo hilo, miss huyo alijikuta akizungukwa na wapiga debe wa daladala na kuanza kumshushia maneno makali wakimwambia kuwa wamechoshwa kuona nyeti zao.

AVULIWA
Huku sistaduu huyo akidhani ni kelele za kawaida, wapiga debe hao walimzingira na kuanza kumvua kigauni hicho cheusi.

APEWA KITENGE
Mrembo huyo alipoona mambo yameharibika huku wenzake wakitoka nduki, alilazimika kukimbilia katika duka moja la nguo maeneo hayo na kuomba msaada ambapo alisitiriwa kwa kupewa upande wa kitenge kwa msaada wa trafiki wa kike aliyemuokoa.
Kabla ya kusaidiwa na trafiki mwingine wa kiume, yule wa kike alimshauri kuvaa kitenge hicho na kuondoka eneo hilo.


AKIMBIZWA
Cha kushangaza, wakati anatoka katika duka hilo hali ilizidi kuwa tete baada ya midume walioonekana kuchoshwa na uvaaji wa nguo fupi kumkimbiza na kuanza kumvua kitenge hicho hivyo kusababisha vurugu kubwa kiasi cha matrafiki kadhaa kuingilia kati na kuwatawanya vijana hao.

AJITETEA
Wakati dada huyo akihojiwa na matrafiki hao, alijitetea kuwa anawashangaa vijana hao kwa kumfanyia vurugu wakati nguo hiyo siyo fupi na mara nyingi amekuwa akiivaa na kutembea nayo maeneo kama hayo bila kupata tatizo lolote.
“Afande hii nguo huwa naivaa sana na sijawahi kupata matatizo yoyote, sijui leo imekuwaje lakini siyo fupi kama wanavyodai, nimevaa na kitenge lakini bado wananifanyia vurugu,” alilalamika dada huyo kwa uchungu.
Licha ya dada huyo kuwa katika mikono ya mmoja wa matrafiki wa kiume, jamaa hao walizidi kumfuatilia huku wakimrushia maneno makali ya matusi na wakati mwingine kumsukuma.
Baada ya trafiki huyo kuona hali inazidi kuwa mbaya, alisimamisha gari moja la serikali na kumuombea lifti kwa lengo la kumnusuru kufanyiwa kitu mbaya.

TUMEWACHOKA
Wakizungumza na gazeti hili juu ya tukio hilo, ‘machalii’ hao walisema kuwa wamechoshwa na uvaaji mbovu wa baadhi ya akina dada ambapo sasa wameamua kuwafanyia vurugu hizo mpaka hapo watakapoacha kuvaa hovyo.
“Tunakushukuru kwa kupiga picha, wanatuchosha hawa dada zetu, nguo wanazotuvalia barabarani ni za kuvaa nyumbani tena chumbani lakini wao wanavaa sehemu kama hizi, kuanzia sasa kazi itakuwa kama hii hadi watakapoacha, dawa yao ni kuwawashia moto,” alisema mmoja wa wapiga debe hao huku akisapotiwa na wenzake.
Siku za nyuma mchezo wa kuwavua nguo fupi wanawake ulisaidia kupunguza tabia ambapo kwa sasa imerejea kwa kasi hivyo ili wanusurike na adha hiyo ya kuvuliwa hadharani inayoshika kasi, inabidi kuvaa kiheshima.

HII INAWAHUSU KINA DADA AMBAO HAWAJAOLEWA

Inasemekana Mwanamke anapofikia umri wa miaka 25 huanza kujiuliza kuhusu kuolewa, lakini pia huanza kujiuliza kuhusu watoto. Kama hajaolewa, hana mchumba au anahisi kutokupata mtu anayeamini atamfaa, huanza kuhofia. Anapofikia umri huo huanza kujiuliza pia kuhusu watoto.
Hofu za maisha ya upweke ya baadaye humjaa na kumfanya kuanza kubabaika. Ni katika kubabaika huko, ndipo ambapo huweza kufanya mambo ambayo watu wengine hujiuliza ni kitu gani kimemsibu.
Kwa kuhofia kuchelewa kuolewa au kutoolewa kabisa, anaweza kumkubali mtu ambaye vinginevyo asingekubali kuwa naye kama mume. Kwa hofu ya kuingia kwenye umri mkubwa akiwa hana mume, humbeba yeyote. Katika mazingira kama haya ndipo ambapo unakutana na wale ambao huolewa kwa madai ya kuondoa mkosi. Anachotaka ni kuolewa na mwanaume yeyote, ili mradi ionekane kwamba, maishani mwake naye alishawahi kuolewa.
Girls mfunguke ni kweli haya

MWANAUME ANYWESHWA VIROBA NA KULAWITIWA VIBAYA NA MWENZAKE NA KUMHARIBU SEHEMU YA HAJA BAADA YA KULEWA HUKO SINGIDA


JESHI la Polisi mkoani Singida linamtafuta kijana mmoja mkazi wa Kibaoni katika manispaa hiyo kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake na kumharibu vibaya sehemu za haja kubwa baada ya kumnunulia pombe kali aina ya viroba jogoo tisa.
 
Kamanda wa polisi mkoani hapa, Geofrey Kamwela, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi saa 3:00 usiku eneo la soko la Kibaoni, kata ya Kindai, na kumtaja mtuhumiwa huyo kwa jina moja la Athuman.
 
Alisema kuwa baada ya kila mmoja kumaliza kunywa viroba vyake, kijana aliyelawitiwa (jina tunalihifadhi) alimweleza mtuhumiwa kuwa amelewa kupindukia na hivyo kila mmoja arejee nyumbani kwao.
 
“Walipofika eneo la soko la Kindai, muathirika alimwambia mtuhumiwa amwache hapo ili apumzike kwa vile pombe ilikuwa imemzidi sana lakini ghafla alianguka chini na kisha na kupoteza fahamu,” alisema.
 
Baada ya muathirika kupoteza fahamu, mtuhumiwa alitumia fursa hiyo na kuanza kumwingilia kimwili kinyume cha maumbile.
 
Alisema kuwa wasamaria wema walimshuhudia mtuhumiwa akiendelea kufanya unyama huo dhidi ya rafiki yake lakini walipojaribu kumkamata, aliwaponyoka na kukimbilia kusikojulikana.
“Raia wema hao walimbeba muathirika na kumpeleka nyumbani kwake na baadaye aliweza kupata fahamu ndipo alianza kusikia maumivu makali sehemu yake ya haja kubwa,” alisema.
Alisema muathirika alipelekwa hospitali ya mkoa wa Singida ambako alibainika kuharibiwa vibaya sehemu zake za haja kubwa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

MTOTO AMUOA MAMA YAKE NA KUMPACHIKA MIMBA MAMA YAKE MZAZI...!!!


woman to marry her own son
 Woman To Marry Her Own Son In Zimbabwe; Mother Pregnant With Son’s Child
Betty Mbereko, a 40-year-old widow who has been living under the same roof with her own son, 23-year-old Farai Mbereko is set to marry him.
The mother and son who are madly in love with each other plan to take their romance to a new level considering they’re expecting a child together.
Betty from Mwenezi in Maswingo who is now 6-month-pregnant for her son confirms that she has decided to marry him because she does not want to marry her late husband’s younger brothers, whom she says are coveting her.
Betty stunned a village court last week when she said the affair with her son had begun three years earlier.
She said after spending a lot of money sending Farai to school following the death of her husband, she felt she had a right to his money and no other woman was entitled to it.
Lord have mercy.
What is going on in this world.

Saturday, August 31, 2013

PICHA TOFAUTI TOFAUTI ZIKIONYESHA MAISHA YA USWAZI INDIA..


Click image for larger version. 

Name: securedownloadCA8SZXZ7.jpg 
Views: 0 
Size: 131.2 KB 
ID: 108235



Click image for larger version. 

Name: securedownloadCA43QFSF.jpg 
Views: 0 
Size: 74.0 KB 
ID: 108237

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCA97X2U2.jpg 
Views: 0 
Size: 142.2 KB 
ID: 108241

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCAMN5NS8.jpg 
Views: 0 
Size: 172.8 KB 
ID: 108242

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCAR55W2L.jpg 
Views: 0 
Size: 148.6 KB 
ID: 108243

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCAU6PETF.jpg 
Views: 0 
Size: 194.7 KB 
ID: 108244

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCAYU6ZZ8.jpg 
Views: 0 
Size: 105.2 KB 
ID: 108245

Click image for larger version. 

Name: securedownloadCA7OR7PS.jpg 
Views: 0 
Size: 160.3 KB 
ID: 108234

HII NAYO KALI BALOTELLI AAMUA KUFUGA NGURUWE TOFAUTI NA MASTAA WENGINE WANAOFUGA MBWA




WAKATI watu wengine wanafuga mbwa au paka kama wanyama rafiki, mchezaji mtukutu Mario Balotelli ameamua kufuga nguruwe.

Katika ununuzi wake wa ajabu hivi karibuni, mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Italia, alishangaza watu kwa mara nyingine tena kwa staili yake ya masiha baada ya kununua mtoto wa nguruwe.

Akitupia picha kwenye mtandao wa Twitter, Balotelli akawaambia wafuasi wake milioni moja katika mtandao huo: “Hatimaye nguruwe wangu mdogo amewasili, ana umri wa miezi miwili, ni wa kike lakini nimemuita SUPER!”.

Alikuwa akikumbukia jina lake la utani Super Mario alilopewa wakati akiwa Manchester City.

Ilionekana kuleta mchanganyiko kidogo watu wakiwa hawajui iwapo rakiki yake huyo mpya ni mwanamke au mwanaume.

Nyota huyo wa miaka 22 akaandika: “Hakika nimeshindwa kubaini hivyo nadhani ni mwanamke ahahahaha lakini pia pengine ni mwanaume Ahahah.”

Inaaminika nguruwe huyo atajizolea umaarufu mkubwa ndani ya jiji la Milan.

ZIJUE SABABU ZINAZOFANYA WANAWAKE WENGI KUKOSA WAUME WA KUWAOWA KWA 100%


Nimefuatilia kwa kina nakujiuliza ni kwanini wasichana wengi kuolewa imekua tabu?
Na hii ni research nimefanya kwa wasichana na vijana wa kiume ili nipate majibu sahihi.
Nimekuja kugundua matatizo ya wasichana ni mengi ndio chanzo cha wao kukosa waume.

1. Umalaya
Ule wakati binti anaanza kuchanua badala ya kujitunza nakujiheshimu yeye ndio anatumia nafasi hiyo kuuchezea mwili wake kila mwanaume anayemtongoza anamkubali mwisho anajikuta ana maboyfriend zaidi ya mmoja, hapo anaanza kuangalia sasa maslahi na sio upendo wa dhati anajikuta kaingia kwenye wrong choice basi ataendelea kusakanyia mwengine na mwengine na mwengine ili akutane na right choice hapo kuna mabuzi kibao kuna waume za watu na vijana matapeli wote anabambana nao mwisho anashtukia yuko above 30 ana anza kulia ohh na mkosi sijui nuksi nk.

2. Maringo – Nipale wakati binti anapokua nakujishtukia kuwa yeye ni mrembo wa ukweli, basi hapoa ataanza kujisikia kuwa yeye ni yeye kudharau wengine na kujiona babkubwa na kuwa too much selective, inapotoke kijana kampenda atakapomfata huwa anamuangalia nakumuona hana hadhi ya kuwa na yeye, itaendelea hivyoooooo mwisho atakuja kukutana na kijana mtanashati wa ukweli hapo ndio atajiaminia huyo ndio mwenye hadhi yake kumbe gubegube, mpaka aje kugundua kashaumizwa anaanza sasa kuumizwa kila mara hapo ataamua sasa kujishusha na kusarandia vijana wa kawaida, kila atakae date nae anakuta ni mchumba wa mtu au mume wa mtu au bf wa mtu, hapo ndio tayari keshakua majeruhi wa mapenzi basi itabidi aishie kuchuna mabuzi fumba na kufumbua yuko above 30 anaanza kulia nina mkosi ohh nuksi nk.

3. Roho ya kukataliwa – samahani maana hii ipo spiritual zaidi mtaniwia radhi, kiukweli kuna watu wana roho ya kukataliwa utakuta ni msichana mrembo tabia nzuri na sifa zote nzuri anazo shida ni akwamba wachumba wanamkataa dk za mwisho, ikumbukwe huyu sio muhuni anajiheshimu na anajitambua vizuri, atapata mchumba ghafla mchumba atamtema nakwenda kwa msichana mwingine inaweza kuwa kashamvisha hata pete ya uchumba wameshatambulishana hata kwa wazazi haijalishi mwanaume atamtema tuu, hawa kwakweli ndio wanaongoza kwakujiita wana mkosi nuksi nk.

4. Majini Mahaba – Baadhi ya wasichana wana majini mahaba kwahiyo kuolewa kwao imeshakua ni tabu anaweza apate mchumba afe au mwanaume abadilike tabia nakumchukia au mwanaume aanze kuwa Malaya na kushindwa kumvumilia hatimaye wanaachana mauzauza yanakuwa kibao kwenye mapenzi yake mwisho anajishtukia yuko above 30 anajiona ana mkosi na nuksi.

5. Marafiki wabaya – Msichana anaweza kuwa haolewi kumbe marafiki alionao sio wema kwake, ukipata mchumba tayari umeshaenda kumweleza shosti wako au mashosti zako, bila wewe kujua wanampeperusha, watakuzunguka ,watatembea nae, watamtega, watakuongelea vibaya, watakuloga, watamloga, watakuharibia mpaka utaachwa kila mara usipokua mjanja ukashtuka ndio hivyo uanajikuta uko abave 30 unaanza kulia ohh nina mkosi sijui nuksi nk.
Mpaka hapo nina amini kwa wewe msichana ambaye huolewi kuna fungu lako moja kati ya hayo hapo juu, sasa chakufanya jitambue na ujipange upya kama ushapita above 30 usihofu sana hata miaka 60 wanaolewa bado.

1. Umalaya – acha umalaya anza upya jitulize tubu mwombe Mungu sio uende kwa waganga, Mungu ndio
alieanzisha utaratibu wa ndoa atakusamehe na kukuhurumia na kukuletea mume wako na utayafurahia maisha.

2. Maringo – Mungu pia anachukia maringo acha kujisikia wewe ni wakawaida sana anza sasa kujishusha na umuombe Mungu msamaha atakusamehe na kukuhurumia na atakuletea mume wako na wewe utayafurahia maisha.

3. Roho ya kukataliwa – hii ilianza tokea tumboni kwa mamayako, mamayako akawa wa kwanza wewe ukawa wa pili kujikataa, sasa chakufanya vunja roho ya kukataliwa na uanze kujikubali vunja vunja vunja vunja roho ya kukataliwa zitavunjika roho zote na utakuwa huru kiulaini utampata mume wako na utayafurahia maisha.

4. Majini mahaba – haya wengi wameyapata kwa waganga tabia za wasichana kewenda kwa waganga kuwaloga wanaume na kwenda kulala kwenye maguest ovyohovyo sasa anza kutubu kwanza ndio umtafute Bony Mwaitege akufanyie maombi na kujiombea mwenyewe Mungu ni warehema atakuhurumia na utafunguliwa na utakuwa huru utampata mwenzi wako na wewe utayafurahia maisha.

5. Marafiki wabaya – Hata Mungu ametuonya sana juu ya marafiki sasa cha kufanya wewe punguza wimbi la marafiki haswa ukiwa na bf umpe nafasi yeye kuwa ndio rafiki ikibidi wakatie kamba mashosti zako kabisa na kamwe usiwahadithie juu ya mpenzi wako na kabla ya yote mwombe Mungu kwanza akusamehe na akuelekeze nini cha kufanya baada ya hapo mbona uta yafurahia maisha na mume wako Mungu atakaekupa.

HAWEZI " KU SEX " MPAKA ASHIKILIE NA MKONO.......HUU NDO UFUMBUZI WA TATIZO


Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama wapenzi.

Huyo mwanaume alikua yuko nice ingawa baadae tulikuja tukaachana. Tatizo la huyo mwanaume ni wakati wa kufanya mapenzi.





Tulikua tukifanya romance , tukiwa tunajiandaa kufanya mapenzi alikua yuko vizuri , tu tunaendana vizuri na wote tunakua tuko tayari kungonoka ila wakati wa kungonoka ndo kasheshe linaanzia hapo.

Kwanza uume wake hauingii, yaani ni lazima ashikilie na mkono ndo aanze kuingiza na kutoa na hata kama akishikilia bado hawezi kutia kabisa yaani hawezi kwenda juu na chini na hata mimi nashindwa kumsapoti kukatika kwani uume wake unakua kama umeshasinyaana.


Kitu kingine alikua anadai eti uchi unateleza kwa hiyo ananifuta ndio aingize ukiwa mkavu kabisa wakati mimi najua uchi ukiwa una ute ndio rahisi kwa kufanya mapenzi na pia haiwi kazi ngumu kuingiza.


Uume  wake ulikuwa unaonekana umesimama sana ila hauingii unakua kama hauna nguvu. 



Huyu mwanaume alinitesa kweli kihisia kwani nilikua na ham  sana lakini ndio hivyo hawezi kuingiza nakuiacha peke yake ....lazima aishikilie na mkono na ananifuta uchi uwe mkavu ndio ajaribishe kuingiza....



Yaani  kuna mda tulikuwa tunafikia  mpaka tunaamua kuacha kwani hafanikiwi kuingiza anajishikilia kwenye kichwa anaingiza kichwa kidogo.

 Nakumbuka nimeshawahi kuwa nae siku mbili lakini alifanikiwa kuingiza mara moja na hakukaa hata dakika kumi ikatoka.

Alafu sijawahi muona akipiga  bao  zaidi ya mara moja tu .JE, hili ni tatizo gani kwa mwanaume huyu?

 
Ukimuangalia ni handsome, ananguvu za kutosha tu na uume  wake unasimama vizuri na ni mkubwa vizuri na isitoshe nilikuwa namfanyia blow job ya kutosha na nampa romance ya kutosha kuhakikisha yuko tayari lakini wapi.



Mwenzenu yaliyonipata ndio hayo, Ingawa yule mwanaume niliachana naye ila kila siku nimekuwa nikifikiria je hili ni tatizo gani? Nimekaa na siri moyoni lakini kwa kweli imenishinda .


Na sio kwamba umri wake ni mkubwa ni bado kijana mdogo hajafika hata miaka thelathini, kwa mnaojua labda nini atumie ili awe anajiweza kimapenzi hata nijaribu kumshauri kwani nasikia hata msichana aliyenae sasa ameshaanza kulalamika kwa watu.


Na sikupenda lile tatizo lake kwani wakati wa tendo  alikua anahangaika sana utamuonea huruma na tunaishia tu kujaribu kuingiza hatufanikiwi kufanya.

Asanteni.

USHAURI   WA TATIZO


Hili tatizo lipo kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wanaume lakini kutokana na UANAMUME  huwa hawapendi kulizungumzia sio kwa wapenzi wao tu bali hata kwa madaktari.

 MTAZAMO HUYO MTU ANATATIZO  LIITWALO  PARTIAL IMPOETANCE.

HUSABABISHWA NA VITU VINGI,WOGA WA MUNGU,WOGA WA MAHALI PA KUFANYIA TENDO,

 WOGA WA MAGONJWA,WOGA KWA MSICHANA KWA MAANA YA KUOGOPA KUUMBUKA AU KUMKAMIA SANA MSICHANA AU KWA KUTAKA KUMWOMYESHA BINTI KUWA ANAYAWEZA.  NA MSONGO WA MAWAZO KWA UJUMLA.PIA HUTOKEA KAMA MTU HAJAMFEEL SANA MTU AU ANASUTWA NA NAFSI KWA KUTAKA KUIBA NGONO.

NYONGEZA  YA VISABABISHI.

1)-Maumbile ambayo wengi wanarithi.


2)
-   Mtu  aliyezoea  kupiga punyeto kwa  muda  mrefu

3)- Matatizo ya Kisaikolojia yaliyosababishwa na wanawake (ana historia mbaya na wanawake),

3)-Kuugua kwa muda mrefu huko nyuma (matokeo ya matumizi ya dawa mbali mbali),

4)-Kutojiamini,

5)- Wewe kutokuwa "relaxed" yaani unanyege na uko mnyevu lakini pia uko "tense" hatoweza kuingia na jinsi anavyojitahidi kuingia anashindwa inampunguzia kujiamini  hata kuhisi kuchoka na kupoteza ugumu wa uume wake.

6)-Stress kutokana na maisha au shughuli za kimaisha na kazi.

7)-Kutokujua afanyacho (sio mzoefu sana) na labda anajua wewe mambo yako yako juu.

8)-Umri mdogo kitu kinachoweza kusababisha yeye kutokuwa tayari kwa tendo au kuwa kenye uhusiano wa kimapenzi na ngono......nakadhalika.

NINI  KIFANYIKE?

Kutokana na umri mdogo wa mpenzi wako huyo wa zamani sidhani kama ni busara kumshauri kutumia dawa za kuongezea nguvu zile za kisasa au za kienyeji za kiume kabla ya kujaribu njia za kawaida ambazo hazina madhara .

Njia hizo ni kujitahidi na kujua hali yake hiyo inasababishwa na nini hasa? Na hilo litafanikiwa ikiwa ataondoa aibu na kuweka pembeni "ego" yake na kwenda kumuona Daktari na kumueleza yaliyomsibu huko nyuma kama yapo(Kisaikolojia), Kinachompata anapokuwa na wewe (labda kutojiamini/uoga), amewahi kuugua alipokuwa mdogo, kuna matatizo ya kiafya kiukoo kama kisukari n.k


Sasa kwa vile hana mpenzi kwa sasa na wewe inaonyesha unampenda, unamjali na kutaka kumsaidia basi sio mbaya kama mkarudiana (sio lazima ) ukamsaidia kwa kutumia  bidhaa iitwayo "cock ring"..

  Inapatikana kwenye maduka ya dawa sambamba na Condom lakini "pete ya uume" hiyo husaidia kuufanya uume kubaki mgumu kwa kutoruhusu damu iliyojaa uumeni kushuka chini nakusababisha "kiungo" kulegea au kupoteza u-firm wake.

Kifaa hiki huwekwa chini kabisa karibu na pumbu pale uume unaposimama na kukaza hali itakayomfanya mwanaume asimamishe kwa muda mrefu kuliko kawaida yake na haina maumivu yeyote kwako wewe wala yeye mwanaume kwani bidhaa hiyo imetengenezwa kwa mpira.

Vilevile ajitahidi kula vyakula vyene vitunguu saumu, apendelee kula vyakula vya baharini hasa pweza.

DIAMOND AMNUNULIA GARI MZEE GURUMO,VIDEO YAGHARIMU ML.48!!!



 Diamond akiongea jambo kwenye uzinduzi huu.
UZINDUZI wa video mpya ya Nasib Abdul ‘Diamond’ iitwayo My Number One, imeonekana kufuru kutokana na maandalizi yake na aina za kamera zilizotumika.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria uzinduzi rasmi wa video hiyo uliofanyika katika Hoteli ya Serena, jijini Dar, walisema kuwa Diamond ameleta mabadiliko katika tasnia hiyo ya muziki wa Bongo Fleva hasa katika kipengele cha video bora. 
 Akitoa shoo mbele ya waarikwa wake
 Shaa,Master Jay na Madame Litta wakifuatilia uzinduzi huo
 Ay,Salama & Shetta hawakuwa nyuma kutazama zoezi hilo la uinduzi wa my number one ya Diamond
 Mzee Gurumo akiwa ndani ya gari lake muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Diamond kama moja ya zawadi yake.
 Diamond akimkabidhi ufunguo wa gari Mzee Gurumo.
Ray,JB wakishuhudia baadhi ya matukio ya uzinduzi huo
Baadh ya ndugu na jamaa wa Diamond wakifuatilia burudani za uzinduzi huo
Profesa Jay,Antu Mandoza,B2 na Nay wa Mitego katika pozi

UPDATE:CHEKI JINSI LULU NA JIDE WALIVYOJAZWA MAHELA KIBAO BAADA YA WIMBO WA YAHAYA KUPIGWA





UIMBAJI stadi wa Wimbo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki kipya Lady Jay Dee umemjaza mahela Msanii wa Filamu aliyejizolea umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akiimba wimbo huo na Jide wakati wa uzinduzi wa Video yake mpya na yakwanza kusimama peke yake ya FOOLISH AGE.
Baada ya move hiyo kali ya dakika 120 iliyooesha ukali wa staa huyo kuoneshwa kwa dakika 20 tu na kubakisha zingine 100 kusubiri wateja kuziona majumbani kwao alipanda jukwaani kujitambulisha na kutoa shukrani kwa wamepenzi wa tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa muitikio wao alipanda na kuimba wimbo huo wa Yahaya.
Akianzia kuimba kiitikio cha wimbo huo akiwa Back Stage, Lulu aliwashangaza watu pale alipomudu vyema wimbo huo kiasi cha mashabiki ‘Mapedeshee’ wakiongozwa na Pedeshee Rich Rich, kupanda jukwaani na kumtunza fedha kibao ambazo hakika zilimpagawisha msanii huyo na mwisho wa wimbo huo alisema mziki unalipa.
“Jamanieee kumbe mziki unalipa ile mbaya yaani  nimeimba ubeti mmoja tu hapa ona hela kibao, kuanzia sasa na mimi nitaanza kuimba mziki”, alisikika Lulu akisenma huku akishangiliwa na mashabiki wake.
Uzinduzi wa fikamu hiyo ya kiswahili ambayo ina sub title ya Kiingereza na ambayo haipaswi kuangaliwa na watoto chini ya miaka 16, huku ikiwa imechezwa na wasanii maarufu na wakongwe  kama Elizabeth Michael mwenyewe, Diana Kimaro, Hashim Kambi, Ombeni Phiri na Mzee Jengua ulifanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.CHANZO http://mrokim.blogspot.com
 Wasanii mbalimbali walihudhuria show hiyo usiku huu pale Mlimani City
 Lulu akizungumza machache mara baada ya Move yake hiyo kuoneshwa kwa mashabiki na wapenzi wa filamu Tanzania ndani ya Ukumbi wa Mlimani City.
 Wadau walifuatilia burudani...
 Jide akikamua jukwaani...
 Mama na mwanao ni kama chanda na Pete... huyo ni Natasha (kulia) na Bintiye Monalisa.
 .... Walitunzana tu kivyao vyao...

 noti alizo tuzwa Jide...

 Rich Rich akimwaga noti
 Wadau wakifuatilia uzinduzi huo wa Filamu.
 Furaha ilitawala

 Mwogozaji wa Filamu za Kibongo, Leah Mwendamseke nae alikuwepo kuangalia kazi hiyo ya Lulu.
 Waongoza Shughuli hiyo watangazaji wa Redio na TV Double G na mwana dada kutoka Times FM walikuwepo.
                                                   CHANZO http://mrokim.blogspot.com