Hofu za maisha ya upweke ya baadaye
humjaa na kumfanya kuanza kubabaika. Ni katika kubabaika huko, ndipo
ambapo huweza kufanya mambo ambayo watu wengine hujiuliza ni kitu gani
kimemsibu.
Kwa kuhofia kuchelewa kuolewa au kutoolewa kabisa, anaweza kumkubali mtu ambaye vinginevyo asingekubali kuwa naye kama mume. Kwa hofu ya kuingia kwenye umri mkubwa akiwa hana mume, humbeba yeyote. Katika mazingira kama haya ndipo ambapo unakutana na wale ambao huolewa kwa madai ya kuondoa mkosi. Anachotaka ni kuolewa na mwanaume yeyote, ili mradi ionekane kwamba, maishani mwake naye alishawahi kuolewa.
Girls mfunguke ni kweli haya

No comments:
Post a Comment