Lest Westwood, mchora tatoo aliyemchora alisema "Huwa inanukisha studio yote mwili wake unapoungua na kuna hatari pia ambazo zinaambatana na kujitatoo hivi, mwili unaweza ukapata shock".
Mr
Whelan alikua na miaka 9 tu alipoanza kutamani sana tatoo. Tangia hapo
alitumia masaa 300 kwenye kiti cha wachora tatoo na alitumia zaidi ya
euro 20,000 kujipamba mwili wake. Designs zake zilitoka kwenye maumbo ya
nyoka,ng'e(scorpions) na mavampire hadi jina la TV program anayoipenda
sana ‘The Jeremy
Kyle Show’ alijitatoo nayo kwenye kisogo chake.
Hapo
hapo, Whelan ambaye amebadilisha jina lake kisheria na kujiita 'His
Royal Majesty Body Art,King of Ink Land' alisema anapenda kujifikiria
kuwa yeye ni kipande cha sanaa kinachopumua na kuishi.... |
No comments:
Post a Comment