Sunday, January 6, 2013
HII NDIO TAARIFA KAMILI KUHUSU WACHUNGAJI WAWILI MASHOGA WALIOKAMATWA NIGERIA.
Moja kati ya stori zinazomiliki
headlines sasa hivi Nigeria ni hii ya wachungaji wawili mashoga
kushitakiwa kwa kosa la kumlazimisha mwanaume mwenzao kufanya nao hayo
mapenzi ya jinsia moja.
Wachungaji wenyewe ni Prince Ejimole (26) na Lawrence Udo (25) ambao walikamatwa na polisi wakiwa kwenye chumba cha hoteli.
Mchapo kamili umeanzia pale muumini wao mmoja alipoomba msaada wa kufanyiwa maombezi ambapo wachungaji hao walimualika kwenye chumba cha hoteli ambayo siku zote ndio wamekua wakifanya hayo mambo yao kwa siri.
Muumini aitwae Chidiebere ambae ni mwanaume alipofika chumbani hotelini badala ya kuanza kuombewa akajikuta akipapaswa kimahaba na mmoja kati ya wachungaji hao ambae alianza kumvua nguo mpaka kumshika kwenye sehemu zake za siri.
Chidi alipoona hivyo akapiga kelele na kuita uongozi wa hoteli ambao nao waliwaita polisi waliokuja kuwakamata wachungaji hao, wahudumu wa hoteli hiyo hawakua wameushtukia mchezo kwa sababu siku zote wachungaji hao wanapokuja kukodi chumba wanajua wamekuja kwa ajili ya maombi manake hata kelele za maombezi huwa wanazipiga.
Kesi yao tayari iko Mahakamani na itasomwa tena january 7 2013.

HUYU NDIO MPENZI WA LONG TIME WA D’BANJ AMBAE PICHA HIZI ZIMESAMBAA INTERNET ZIKIANZIA NIGERIA.
Kwa mujibu wa blogger maarufu wa Nigeria Linda Ikeji
imefahamika kwamba huyu ndio mpenzi wa muda mrefu wa mwimbaji star
D’Banj, anaitwa Jennifer Obayuwana, pamoja na kwamba D’Banj hapo
katikati alikua kwenye mapenzi na warembo kadhaa tofauti, Jennifer ni wa
siku nyingi na mvumilivu na ameendelea kuwa na D’Banj kwa muda mrefu.
Kwenye interview ya Ndani TV D’Banj kasema pia kwa sasa yuko inlove, hayuko single kama wengi wanavyodhani.
Jennifer ni mtoto wa tajiri mmoja wa Nigeria aitwae John Obayuwana, kwa sasa Jennifer ni director kwenye kampuni ya baba yake na pia ni director kwenye CAT construction.

TAARIFA KUHUSU JAY JAY OKOCHA KUFILISIKA
Taarifa kutoka kwenye magazeti
manne makubwa ya Nigeria zimeripoti kwamba mchezaji maarufu na wa siku
nyingi nchini humo Jay Jay Okocha anazidi kufilisika kila siku na sasa
anafanya muendelezo wa kuuza mali zake ambazo zilikua kitega uchumi
kikubwa kwake.
Captain huyu wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria ambae pia alizichezea Bolton Wanderers and Hull City tayari mpaka sasa ameshaiuza club yake maarufu Nigeria iitwayo Club 10 ambayo ameiuza kwa Producer Don Jazzy ambae ni producer aliewatoa wengi akiwemo D’Banj, na sasa anafanya kazi na staa Tiwa Savage.
Club 10 ni kiwanja maarufu sana kwenye mji wa Lagos ambapo kimehudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Akon.
Baada ya kuiuza hiyo Club, sasa hivi anauza nyumba yake nyingine iko Akute, Ogun State ambapo mpaka sasa imeripotiwa kwamba midfield Maestro yuko tayari kufanya mazungumzo ya kuanzia N17 million.

Saturday, January 5, 2013
USISHANGAE, HII NDIO CLUB YA WAVUTA BANGI ILIYOFUNGULIWA MAREKANI.
Hii stori kutoka CNN ikufikie kwamba huko Colorado
Marekani imefunguliwa club ya wavuta bangi ambayo imeruhusiwa, ni
wanachama tu wanaoruhusiwa kwa kulipa dola 30 ambazo ni zaidi ya elfu 40
za kitanzania, umri wa kuruhusiwa ni kuanzia miaka 21.
Katika Club hii inayoitwa Club 64 hauwezi kununua bangi ndani ya club lakini unaweza kwenda na ya kwako na ukashare na marafiki na mkavuta kwa pamoja, ni uhuru wa wavuta bangi ambao mmiliki wa Club anasema unampa nguvu ya kutimiza malengo yake mengine kama haya aliyonayo na wala hana cha kuogopa.

ZIPOKEE HIZI PICHA 15 ZA MOJA YA MAJUMBA YA TAJIRI WA NIGERIA, NYUMBA INA MSIKITI NA KANISA NDANI.
Hili ni moja ya majumba ya
kifahari yanayomilikiwa na Mnigeria anaeshika nafasi ya pili kwa utajiri
Nigeria kwa mujibu wa jarida la Forbes Mike Adenuga, hili ni jumba la
mabilioni ya Naira ambalo liko kwenye ardhi ya bei ghali inayomilikiwa
na wachache wenye pesa Nigeria, panaitwa Banana Island.
Kwa mujibu wa blog ya Linda ni
kwamba His billion Naira estate consists of 8 duplexes and an additional
one for his personal residence with home office (the gold one), two
watch towers and a multipurpose hall that sits 200 people, kuna swimming
pool ya ndani, car park, helipad, yacht deck and it sits on roughly 3
hectares.
Ni jumba la kifahari ambalo pia lina msikiti na kanisa ndani yake ambapo kama haufahamu huyu ndio tajiri ambae aliwahi kuingia kwenye headlines Africa baada ya stori yake ya kumlipa Beyonce kuja kuimba kwenye harusi ya mtoto wake wa kike mwaka 2010.

Mike
Adenuga mfanyabiashara mkubwa Nigeria ambae pia ni mwenyekiti
wa Globacom, pamoja na utajiri alionao nimeona ripoti mbalimbali kwamba
amekua akitoa misaada ya mamilioni kwenye majanga tofautitofauti
Nigeria.
Ni jumba la kifahari ambalo pia lina msikiti na kanisa ndani yake ambapo kama haufahamu huyu ndio tajiri ambae aliwahi kuingia kwenye headlines Africa baada ya stori yake ya kumlipa Beyonce kuja kuimba kwenye harusi ya mtoto wake wa kike mwaka 2010.
HII NDIO NYUMBA ANAYOKAA MWIMBAJI BARNABA KWA KIPINDI CHOTE ATAKACHOKUEPO U.K
Hii
ndio nyumba Barnaba aliyopewa kuishi U.K ambapo pia imeandikwa jina
lake na atakaa hapa mpaka atakapomaliza kufanya show zake mbili
zilizoongezeka baada ya zile mbili za mwanzo kuwa nzuri, ishu nyingine
ni kwamba Barnaba amekua msanii mwenye bahati baada ya BBC kumpa ofa ya
kurekodi wimbo mmoja na video moja kwenye studio za kimataifa U.K
BAADHI YA PICHA ZA MAZIKO, HAPA NDIPO ALIPOZIKWA MAREHEMU SAJUKI.
Subscribe to:
Posts (Atom)